CCM wamekuwa na hofu kubwa sana juu ya huyu mgombea wa CHADEMA. Mgombea wa CCM huyo siku zote amejawa hofu na ndiyo sababu kwenye chama chake hakuruhusu mtu hata mmoja kuchukua form ya kugombea urais.
Tundu Lissu akienda Mahakamani Kisutu na kusomewa mashtaka mapya kama walivyopanga hawa watesi wetu, basi atanyimwa dhamana na hatakuwa nje ya sero ili kujibu pingamizi ambazo zitakuwa zimepelekwa Tume ya uchaguzi. Hivyo Tume yetu itakuwa imeweza mfurahisha mtesi wetu kwa kumuengua Lissu kwenye list ya wagombea.
Tundu Lissu asipoenda mahakamani, hakimu atasema huyo amedharau mahakama na atatoa agizo la Lissu kukamatwa. Naona mitego ni mingi sana.
Watanzania tutambue kwamba kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi(CCM) siyo kazi ndogo. Tena afadhali mkoloni mzungu kuliko huyu mwenzetu, sababu huyu mweusi ana rangi kama yetu, tunaishi naye, na anafanana na sisi.