Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,598
- 1,410
Kwani ni lazima afike mahakamani yeye kama yeye? Mawakili wake hawawezi kufika?
SEMAGA HIVYO HIVYO TU MZEE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ni lazima afike mahakamani yeye kama yeye? Mawakili wake hawawezi kufika?
Tukumbushe kwanza nani aliwatoa walinzi pale Area D siku Lissu anashambuliwa, tukumbushe vile vile cctv camera zilitolewa na nani kwenye nyumba hiyo ya serikali, vile vile tuambie waliomshambulia Lissu walifikishwa mahakama gani kujibu tuhuma? Kama huna majibu ya maana kaa kimya mwishowe utaanza kuropoka ukitaja majina ya mliowatuma na kushindwa kufanikisha mpango wenu wa hovyo.Lissu si alizikimbia kesi mpaka alipoamua kurudi kugombea urais?acheni Sheria ifuate mkondo
CCM wamekuwa na hofu kubwa sana juu ya huyu mgombea wa CHADEMA. Mgombea wa CCM huyo siku zote amejawa hofu na ndiyo sababu kwenye chama chake hakuruhusu mtu hata mmoja kuchukua form ya kugombea urais.
Tundu Lissu akienda Mahakamani Kisutu na kusomewa mashtaka mapya kama walivyopanga hawa watesi wetu, basi atanyimwa dhamana na hatakuwa nje ya sero ili kujibu pingamizi ambazo zitakuwa zimepelekwa Tume ya uchaguzi. Hivyo Tume yetu itakuwa imeweza mfurahisha mtesi wetu kwa kumuengua Lissu kwenye list ya wagombea.
Tundu Lissu asipoenda mahakamani, hakimu atasema huyo amedharau mahakama na atatoa agizo la Lissu kukamatwa. Naona mitego ni mingi sana.
Watanzania tutambue kwamba kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi(CCM) siyo kazi ndogo. Tena afadhali mkoloni mzungu kuliko huyu mwenzetu, sababu huyu mweusi ana rangi kama yetu, tunaishi naye, na anafanana na sisi.
Tatizo ni ujinga uliowajaa watu kama nyie.Ni wazi kabisa CCM wanahaha kila kona kuhakikisha Lissu hapenyi!! yaani hawa wanaopendwa na wananchi kila kona wanayataka matokeo ya mezani - hanataka kukutana na timu dhaifu sisizo na bechi la ufundi.
Kama umefanikisha tukafikia uchumi wa kati, kama unajenga Reli, umenunua maNdege, umejenga madaraja, umenunua maMeli - sasa unaogopa nini kukutana na mpinzani ambaye hajawafanyia watanzania chochote!!
Tunamtaka dereva. Kwa nini mmufiche?Tukumbushe kwanza nani aliwatoa walinzi pale Area D siku Lissu anashambuliwa, tukumbushe vile vile cctv camera zilitolewa na nani kwenye nyumba hiyo ya serikali, vile vile tuambie waliomshambulia Lissu walifikishwa mahakama gani kujibu tuhuma? Kama huna majibu ya maana kaa kimya mwishowe utaanza kuropoka ukitaja majina ya mliowatuma na kushindwa kufanikisha mpango wenu wa hovyo.
Zimwi likujuwalo............!CCM wamekuwa na hofu kubwa sana juu ya huyu mgombea wa CHADEMA. Mgombea wa CCM huyo siku zote amejawa hofu na ndiyo sababu kwenye chama chake hakuruhusu mtu hata mmoja kuchukua form ya kugombea urais.
Tundu Lissu akienda Mahakamani Kisutu na kusomewa mashtaka mapya kama walivyopanga hawa watesi wetu, basi atanyimwa dhamana na hatakuwa nje ya sero ili kujibu pingamizi ambazo zitakuwa zimepelekwa Tume ya uchaguzi. Hivyo Tume yetu itakuwa imeweza mfurahisha mtesi wetu kwa kumuengua Lissu kwenye list ya wagombea.
Tundu Lissu asipoenda mahakamani, hakimu atasema huyo amedharau mahakama na atatoa agizo la Lissu kukamatwa. Naona mitego ni mingi sana.
Watanzania tutambue kwamba kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi(CCM) siyo kazi ndogo. Tena afadhali mkoloni mzungu kuliko huyu mwenzetu, sababu huyu mweusi ana rangi kama yetu, tunaishi naye, na anafanana na sisi.
Wamuachie Tundu Lissu agombee ili ushindi uwe mtamuCCM wamekuwa na hofu kubwa sana juu ya huyu mgombea wa CHADEMA. Mgombea wa CCM huyo siku zote amejawa hofu na ndiyo sababu kwenye chama chake hakuruhusu mtu hata mmoja kuchukua form ya kugombea urais.
Tundu Lissu akienda Mahakamani Kisutu na kusomewa mashtaka mapya kama walivyopanga hawa watesi wetu, basi atanyimwa dhamana na hatakuwa nje ya sero ili kujibu pingamizi ambazo zitakuwa zimepelekwa Tume ya uchaguzi. Hivyo Tume yetu itakuwa imeweza mfurahisha mtesi wetu kwa kumuengua Lissu kwenye list ya wagombea.
Tundu Lissu asipoenda mahakamani, hakimu atasema huyo amedharau mahakama na atatoa agizo la Lissu kukamatwa. Naona mitego ni mingi sana.
Watanzania tutambue kwamba kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi(CCM) siyo kazi ndogo. Tena afadhali mkoloni mzungu kuliko huyu mwenzetu, sababu huyu mweusi ana rangi kama yetu, tunaishi naye, na anafanana na sisi.
Tundu Lissu asipoenda mahakamani, hakimu atasema huyo amedharau mahakama na atatoa agizo la Lissu kukamatwa. Naona mitego ni mingi sana.
Kwa wenzako wanao jua ukweli wa mambo hawataki Lissu afike hiyo tar 28 october, kwa sababu wameshagundua nini kinakwenda kutokea.Hivi nyie chadema mbona pasua kichwa????Mnagombana na ccm, huku mnagombana na mahakama, kule mnabifu na tume ya uchaguzi, ukigeuka huku mnagombana na jeshi la polisi, upande mwingine mnataka media zisipokuja kwenye mikutano yenu waandishi wapigwe.Wakati huo huo mnataka kuingia ikulu YAAANI SHEEDA. Lakini dawa yenu iko jikoni kufikia tarehe 28october dawa itakuwa imeiva mtaipata na akili zitawarudia.
We unataka kukomboa nn wakati nchi ilishakombolewa na Hayati Mwal Nyerere na Karume!!! Malofa mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe!!CCM wamekuwa na hofu kubwa sana juu ya huyu mgombea wa CHADEMA. Mgombea wa CCM huyo siku zote amejawa hofu na ndiyo sababu kwenye chama chake hakuruhusu mtu hata mmoja kuchukua form ya kugombea urais.
Tundu Lissu akienda Mahakamani Kisutu na kusomewa mashtaka mapya kama walivyopanga hawa watesi wetu, basi atanyimwa dhamana na hatakuwa nje ya sero ili kujibu pingamizi ambazo zitakuwa zimepelekwa Tume ya uchaguzi. Hivyo Tume yetu itakuwa imeweza mfurahisha mtesi wetu kwa kumuengua Lissu kwenye list ya wagombea.
Tundu Lissu asipoenda mahakamani, hakimu atasema huyo amedharau mahakama na atatoa agizo la Lissu kukamatwa. Naona mitego ni mingi sana.
Watanzania tutambue kwamba kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi(CCM) siyo kazi ndogo. Tena afadhali mkoloni mzungu kuliko huyu mwenzetu, sababu huyu mweusi ana rangi kama yetu, tunaishi naye, na anafanana na sisi.
halafu!!?Mola ataendelea kumpigania kama alivyoweza kumwepusha na umauti. Atavuka tu mtihani huu. Tusiwe na hofu.
Dereva wa Lissu yuko wapi??Tukumbushe kwanza nani aliwatoa walinzi pale Area D siku Lissu anashambuliwa, tukumbushe vile vile cctv camera zilitolewa na nani kwenye nyumba hiyo ya serikali, vile vile tuambie waliomshambulia Lissu walifikishwa mahakama gani kujibu tuhuma? Kama huna majibu ya maana kaa kimya mwishowe utaanza kuropoka ukitaja majina ya mliowatuma na kushindwa kufanikisha mpango wenu wa hovyo.
Huyu mgombea hajazoea kushindana kwenye uchaguzi. Hata jimboni kwake alikuwa akiwafanyia unyama wagombea wenzie na kupelekea kupita bila kupingwa.CCM wamekuwa na hofu kubwa sana juu ya huyu mgombea wa CHADEMA. Mgombea wa CCM huyo siku zote amejawa hofu na ndiyo sababu kwenye chama chake hakuruhusu mtu hata mmoja kuchukua form ya kugombea urais.
Chadema ugomvi wao ni mmoja tu CCM hao wote wanapata maekekezo kutoka huko!.Hivi nyie CHADEMA mbona pasua kichwa? Mnagombana na ccm, huku mnagombana na mahakama, kule mnabifu na tume ya uchaguzi, ukigeuka huku mnagombana na jeshi la polisi, upande mwingine mnataka media zisipokuja kwenye mikutano yenu waandishi wapigwe.Wakati huo huo mnataka kuingia ikulu YAAANI SHEEDA. Lakini dawa yenu iko jikoni kufikia tarehe 28october dawa itakuwa imeiva mtaipata na akili zitawarudia.
wanaogombeaCCM Ina Corona, kipindupindu,, malaria, kaswende, utapiamlo, unyafuzi, tb, ukimwi , kisukari, kansa na ebola. Imefika ukingoni
SEMAGA HIVYO HIVYO TU MZEE
Nafahamu kuwa mtu anawezatakiwa kufika mahakamani yeye kama yeye, lakini kwa mazingira ya Lissu, hiyo mahakama haina consideration?
Toeni upumbavu na ushenzi wa kulinganisha libya na tz. Libya yule kwamba alizimisha sauti zote akatoa upendeleo kwa familia,kabila na dhehebu lake. Aliendesha nchi kama shamba la mamaye. Akachukue bodyguard wa kike kama michepuko yake anabaka kila siku. Kama huyu ni sawa na guadhafi aondoke asubuhiTatizo ni ujinga uliowajaa watu kama nyie.
Mfano mzuri ni wa Libya. Sasa hivi ukiza mlibya yeyote atakuamvia anavyojuta Gaddafi kutolewa. Tusiende mbali turudi hapa jirani Sudan na Zimbabwe.