Kesi iliyopita hakwendaKwani ni lazima afike mahakamani yeye kama yeye? Mawakili wake hawawezi kufika?
Lissu amesema ataenda kwanza NEC then mahakamaniKwani ni lazima afike mahakamani yeye kama yeye? Mawakili wake hawawezi kufika?
Mitego ni mingiKuna mtu anasubiriwa ameze chambo akutane na ndoano.
Ni rahisi kujikomboa utumwani kutoka kwa wauaji/wazungu/mabeberu weupe kuliko wauaji weusi!Watanzania tutambue kwamba kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi(CCM) siyo kazi ndogo
Ukiwaona makanisani utadhani binadamu kumbe ni mashetani yaliyovaa ubinadamu.Ni rahisi kujikomboa utumwani kutoka kwa wauaji/wazungu/mabeberu weupe kuliko wauaji weusi!
Ni sawa na Gono suguCCM Ina Corona, kipindupindu,, malaria, kaswende, utapiamlo, unyafuzi, tb, ukimwi , kisukari, kansa na ebola. Imefika ukingoni
Kuna agizo limetolewa lazma yeye afikeKwani ni lazima afike mahakamani yeye kama yeye? Mawakili wake hawawezi kufika?
Kwa hiyo na muda wametoa wa kufika mahakamani ambao ndio muda huo huo anaotakiwa kufika NEC?Kuna agizo limetolewa lazma yeye afike
Lissu si alizikimbia kesi mpaka alipoamua kurudi kugombea urais?acheni Sheria ifuate mkondoCCM wamekuwa na hofu kubwa sana juu ya huyu mgombea wa CHADEMA. Mgombea wa CCM huyo siku zote amejawa hofu na ndiyo sababu kwenye chama chake hakuruhusu mtu hata mmoja kuchukua form ya kugombea urais.