Uchaguzi 2020 Kesi za Tundu Lissu na Uchaguzi Mkuu wa 2020

Lissu si alizikimbia kesi mpaka alipoamua kurudi kugombea urais?acheni Sheria ifuate mkondo
Tukumbushe kwanza nani aliwatoa walinzi pale Area D siku Lissu anashambuliwa, tukumbushe vile vile cctv camera zilitolewa na nani kwenye nyumba hiyo ya serikali, vile vile tuambie waliomshambulia Lissu walifikishwa mahakama gani kujibu tuhuma? Kama huna majibu ya maana kaa kimya mwishowe utaanza kuropoka ukitaja majina ya mliowatuma na kushindwa kufanikisha mpango wenu wa hovyo.
 

Wasijaribu UJINGA wao hao NEC na MAHAKAMACCM.
 
Tatizo ni ujinga uliowajaa watu kama nyie.
Mfano mzuri ni wa Libya. Sasa hivi ukiza mlibya yeyote atakuamvia anavyojuta Gaddafi kutolewa. Tusiende mbali turudi hapa jirani Sudan na Zimbabwe.
 
Tunamtaka dereva. Kwa nini mmufiche?
Ukiwa na jibu tuendelee na Mazda, huna kaa kimya
 
Zimwi likujuwalo............!
 
Wamuachie Tundu Lissu agombee ili ushindi uwe mtamu
 
Tundu Lissu asipoenda mahakamani, hakimu atasema huyo amedharau mahakama na atatoa agizo la Lissu kukamatwa. Naona mitego ni mingi sana.

Nakubaliana nawe katika yote uliyoandika hasa hili la kumng'oa mkoloni mweusi kuwa ni gumu la lenye gharama kubwa sana...

Aidha kwa upande mmoja kuitikia wito wa mahakama kujibu shauri fulani ni jambo la lazima, bila shaka.....

Na hii ni pasipo kujali unashitakiwa kihuni au kwa mashtaka ya uongo. You must be in the court of law to prove your innocence.....

Nimekwoti kipande tu cha hoja hiyo ktk andiko lako...

Iko hivi, usipohudhuria mahakamani kwenye shauri lako bila sababu wala taarifa, hapo moja kwa moja ni kosa kisheria na utaingia kwenye mgogoro na mahakama...

Lakini swali la msingi ni hili;

Unadhani Tundu Lissu na mawakili wenzake ktk kesi yake anaweza kufanya kosa la kijinga kama hilo.....kuidharau mahakama?? Unadhani hivyo siyo?

Obviously, jibu ni HAPANA KUBWA ......... yaani HAIWEZEKANI...!!

Kwa hiyo msiwe na shaka. All possible options ziko sorted out na HAWANA UPENYO, NJAMA ZAO ZIMESHADHIBITIWA KILA KONA.....

Kwa ufupi, wao ndiyo wanahaha usiku na mchana kutafuta namna ya kumweka jamaa huyu (Tundu Lissu) somewhere under detention mpaka nomination iwe imepita na kisha kumwachia...

Lakini, bahati mbaya kwao ni kuwa, it is almost impossible now. They have already failed a BIG TIME....!!!

Tundu Lissu atakuwepo kupigana kotekote. Dodoma na Kisutu, DSM...

Uzuri ni kuwa, KISUTU - DSM trh 26/8/2020 siyo lazima awepo yeye in personal. Uwepo wa mawakili wake ni sawa na kuwa yupo yeye...

Uzuri ni kuwa, taarifa za mbinu na mikakati yao yote ya kihuni ilishajulikana kitambo. Na uzuri mwingine, ni kuwa sheria tunazijua na zitatumika ipasavyo kuwadhibiti wahuni hawa wanampigania kufa na kupona dikteta uchwara wao....

Na ukishazijua mbinu za adui yako, unakuwa umeshamshinda huyo....!!

John Pombe Magufuli hana pa kukimbilia.....

Ni aidha akimbie nchi au akabiliane na mzimu wake (TUNDU LISSU) alioutengeneza yeye mwenyewe kwa mikono yake....!!

Ni ni lazima umchinje na kumnyonya damu yake...

Remember, KARMA IS A BITCTH....!
 
Kwa wenzako wanao jua ukweli wa mambo hawataki Lissu afike hiyo tar 28 october, kwa sababu wameshagundua nini kinakwenda kutokea.
 
We unataka kukomboa nn wakati nchi ilishakombolewa na Hayati Mwal Nyerere na Karume!!! Malofa mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe!!
 
Dereva wa Lissu yuko wapi??
 
CCM wamekuwa na hofu kubwa sana juu ya huyu mgombea wa CHADEMA. Mgombea wa CCM huyo siku zote amejawa hofu na ndiyo sababu kwenye chama chake hakuruhusu mtu hata mmoja kuchukua form ya kugombea urais.
Huyu mgombea hajazoea kushindana kwenye uchaguzi. Hata jimboni kwake alikuwa akiwafanyia unyama wagombea wenzie na kupelekea kupita bila kupingwa.

Hatuna haja ya kumuacha mtu huyu hata kwa nusu sekunde kuendelea kuongoza baada ya 28 oktoba.
 
Chadema ugomvi wao ni mmoja tu CCM hao wote wanapata maekekezo kutoka huko!.
 
CDM wanaugonjwa ujulikanao kama UFIPA NYUMBULISIS
CCM Ina Corona, kipindupindu,, malaria, kaswende, utapiamlo, unyafuzi, tb, ukimwi , kisukari, kansa na ebola. Imefika ukingoni
wanaogombea
 
Nafahamu kuwa mtu anawezatakiwa kufika mahakamani yeye kama yeye, lakini kwa mazingira ya Lissu, hiyo mahakama haina consideration?

Consideration kwa sababu zipi? anaumwa au ana tatizo gani hasa? Alitakiwa akamatwe wakati akiwa ughaibuni lakini mahakama ilisema tutumie uungwana maana alikwenda huko akiwa mguu nje. mguu ndani. sasa amerudi anazurura nchi nzima kwanini asifike mahakamani?
 
Tatizo ni ujinga uliowajaa watu kama nyie.
Mfano mzuri ni wa Libya. Sasa hivi ukiza mlibya yeyote atakuamvia anavyojuta Gaddafi kutolewa. Tusiende mbali turudi hapa jirani Sudan na Zimbabwe.
Toeni upumbavu na ushenzi wa kulinganisha libya na tz. Libya yule kwamba alizimisha sauti zote akatoa upendeleo kwa familia,kabila na dhehebu lake. Aliendesha nchi kama shamba la mamaye. Akachukue bodyguard wa kike kama michepuko yake anabaka kila siku. Kama huyu ni sawa na guadhafi aondoke asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…