Kwa nini lazima muende Palestina? Mbona Congo hamsemi?
Acha udini na ujinga mkuu...mada ya msingi hapa ni kuwa hawa watoto wanahaki ya kushi,kama unazo picha za watoto wa kiyaudi leta tuone hapa...kama huna la kusema is good ukae kimya kuliko kuleta hoja zisizo na mshiko...
picha hiyo ilipigwa miaka ya 1984/85 nchini sudani, na mwafrica kusini, ni moja kati ya picha ya karne iliyopita. Jamaa aliyepiga picha hiyo alikuja kuwa tajiri baada ya kuiuza kwa moja ya magazeti makubwa nchini marekani. Tai anaonekana akimvizia mtoto aliyechoka kwa njaa kali, ili amdonoe,mpiga picha huyo alisubiri zaidi ya masaa ma4, akitegemea kupata picha bora zaidi. Mpiga huyo alikuja kujiua kwa kutumia aina ya sumu,iliyochanganywa na petrol,na kuwekwa ndani ya gari kisha gari kuwashwa,ndani ya chumba alichojifungia. Alivuta moshi uliochanganyika na sumu...alijiua baada ya kupokea shutuma toka kote ulimwenguni,wakimlaumu kwa kutomsaidi huyo mtoto,badala yake alijikita katika kupata picha. Mtoto huyo alikufa masaa machache baadae..
Marekebisho kidogo Mkuu, Hiyo picha ni ya March 1993, ilipigwa na Kevin Carter. Na hiyo shot aliipata kama bahati tu, wakati akifanya adjustment ya lens ili ampige picha huyo mtoto Vulture ndy akatua nyuma ya huyo mtoto. Carter alisubiri hapo dk 20 (Na siyo masaa4, kwani walikuwa na dk30 tu kabla kuondoka ndege iliyowapeleka) kuona kama Vulture ataondoka, lakini hakuondoka, ndipo alipoamua kumfukuza. Habari zaidi zinasema kuwa mtoto huyo ni mmoja kati ya watoto wengi walioachwa na mama zao walioenda kufuatilia chakula kutoka ndege za UN zilzokuwa zikitoa chakulla, mpaka leo haijulikani kama kabinti hako kalikufa au kalipona! Ukifuatilia historia ya maisha ya Carter utaona kuwa alizaliwa na kukulia katika maisha yaliyozungukwa na Ubaguzi na Mauwaji ya kutisha, juhudi zake za kukimbia maisha hayo ndy zilizomtoa jeshini na kumpeleka kwenye u-cameraman ambako alikutana na mambo mazito zaidi yaliyomsononesha na kumfadhaisha mpaka akafikia uamuzi wa kujiuwa kwa kuchomeka mpira wa maji kwenye exost ya gari yake na upande wa pili akauchomeka dirishani huku yeye akiwa ndani, hivyo sumu ya carbonmonoxide kumuua kwa utulivu kabisaa, aliacha ujumbe huu: "I am depressed ... without phone ... money for rent ... money for child support ... money for debts ... money!!! ... I am haunted by the vivid memories of killings and corpses and anger and pain ... of starving or wounded children, of trigger-happy madmen, often police, of killer executioners ... I have gone to join Ken [recently deceased colleague Ken Oosterbroek] if I am that lucky."
Acha udini na ujinga mkuu...mada ya msingi hapa ni kuwa hawa watoto wanahaki ya kushi,kama unazo picha za watoto wa kiyaudi leta tuone hapa...kama huna la kusema is good ukae kimya kuliko kuleta hoja zisizo na mshiko...
NA HII JE WAIONAJE? KISIENI WAPI HAPO? SOMALIA?
Mtoto ni mtoto awe myahudi au mpalestina unaonyesha ni jinsi gani ulivyo na roho chafu.Mbona hata wapalestina wanawauwa sana watoto wa Kiyahudi? Au hadi tuweke picha hapa kama wewe ndipo uamini?
R.I.P little kid. Watoto wana haki ya kuishi jamani. :C
"depressed . . . without phone . . . money for rent . . . money for child support . . . money for debts . . . money!!! . . . I am haunted by the vivid memories of killings & corpses & anger & pain . . . of starving or wounded children, of trigger-happy madmen, often police, of killer executioners . . . " And then this: "I have gone to join Ken if I am that lucky."
Kumbe umaarufu siyo issue sana....... Pesa ndo kila kitu.