Vitumbua vya mama mwajuma ndio vimekukuza mpaka kufikia hapo na hawa nduguzo uliowaacha huku ndio wanakuala hivyo na ndio maana mkiondokaga huku mnaondoka na vitumbua 100, chapati 100, unga wa dona, maharage, n.k.Nyie ongopeaneni tu huko bongo lakini watu haturudi ng'o
Yani mimi niache kula bata hapa na toto la kitasha eti nirudi bongo kula vitumbua vya mama Mwajuma,thubutuu!!
Acha kuua hivo shangazi. wahurumie viumbe wenzio. yani nimecheka kaa chizi.Vitumbua vya mama mwajuma ndio vimekukuza mpaka kufikia hapo na hawa nduguzo uliowaacha huku ndio wanakuala hivyo na ndio maana mkiondokaga huku mnaondoka na vitumbua 100, chapati 100, unga wa dona, maharage,nk
Ukifukuzwa huko utakuja tuu......
Vitumbua vya mama mwajuma ndio vimekukuza mpaka kufikia hapo na hawa nduguzo uliowaacha huku ndio wanakuala hivyo na ndio maana mkiondokaga huku mnaondoka na vitumbua 100, chapati 100, unga wa dona, maharage,n.k.
Ukifukuzwa huko utakuja tuu......
Hiyo wanaita 'dua la kuku halimpati mwewe'!!! Na utasubiri sana kama unavyosubiri kurudi kwa Yesu, bwahahahahaah!Vitumbua vya mama mwajuma ndio vimekukuza mpaka kufikia hapo na hawa nduguzo uliowaacha huku ndio wanakuala hivyo na ndio maana mkiondokaga huku mnaondoka na vitumbua 100, chapati 100, unga wa dona, maharage,n.k.
Ukifukuzwa huko utakuja tuu......
Nisichopenda ni vile unavyochukulia watu wanaoishi nje kiujumlajumla. Unasema Wengi wetu, wangapi unaowajua wewe? Hiyo sensa uliifanya lini na kwa watanzania wangapi wanaoishi nje,nchi ipi na ipi?P53 heshima kwako na nashukuru kwa majibu yako ya hovyo hovyo.
Kama wewe una kazi nzuri ni mmoja kati ya wengi walioko huko na hongera kwa kuwa na kazi nzuri kama kweli.
Kama nilienda na kuwakuta hivyo wako kumi gheto ulitaka nisemeje?
Ndio wengi walienda kusoma na hawakusoma na maana yangu ni kwamba ninaowajua mimi wana first degree wakasema wanaenda for masters degree na hawakusoma.
Nasisitiza, wengi wenu mlio huko hamna maisha mazuri basi tu mnaona aibu kusema. hata walioona hilo wakaamua kurudi mbona wao wanasema. huku bongo sasa kuna msemo unasema, sidanganyiki!
Nisichopenda ni vile unavyochukulia watu wanaoishi nje kiujumlajumla. Unasema Wengi wetu, wangapi unaowajua wewe? Hiyo sensa uliifanya lini na kwa watanzania wangapi wanaoishi nje,nchi ipi na ipi?
Anyway, hata kama watu wanakula msoto wewe shida yako nini afterall hawakuombi mkate wao wa kila siku? Next time ukibahatika kuja tena niPM halafu utafikia kwangu, sawa??
Kuna kamsemo ka kiswahili kanasema kwamba, usichokijua ni usiku wa kiza. Waacheni waendelee kuimba ngojera zao hao wakati huko ughaibuni wenzao wanakula kuku.Kwa taarifa ya wasiojua huko nje wako watanzania wenye fani mbalimbali including madaktari, maengineer, IT programmers, registered nurses, walimu, wahasibu, auditors nakadhalika. Kuna consulting firms za watanzania including IT ambao wametoa ajiri kwa watu including wahindi.
Acha waimba ngojera waendelee kuimba, hata kama kuna wanaobeba mabox kwani nyie shida yenu nini kama sio fii hii ni nini?
Kwa taarifa ya wasiojua huko nje wako watanzania wenye fani mbalimbali including madaktari, maengineer, IT programmers, registered nurses, walimu, wahasibu, auditors nakadhalika. Kuna consulting firms za watanzania including IT ambao wametoa ajiri kwa watu including wahindi.
Acha waimba ngojera waendelee kuimba, hata kama kuna wanaobeba mabox kwani nyie shida yenu nini kama sio fii hii ni nini?
Big up Triplets kweli umenena, watu wanafikiri kila aliyokuwa ughaibuni ana beba box. Wengine huko wanakazi zao za maana tena wanategewa na wazawa wa huko.
Mkuu Pretty,
Mimi nilidhani "wabeba Mabox" ni jina tunalotumia tunapowazungumzia Watanzania wenzetu walioko na wanaofanya kazi nje ya nchi lakini sio maana yake halisi kwamba wanabeba maboksi!!!!!
Tiba
Mkuu Pretty,
Mimi nilidhani "wabeba Mabox" ni jina tunalotumia tunapowazungumzia Watanzania wenzetu walioko na wanaofanya kazi nje ya nchi lakini sio maana yake halisi kwamba wanabeba maboksi!!!!!
Tiba
Ninachojua mimi hamna waTZ wanaoteseka UK,US na kama mtoa mada anasema wapo waTZ wanaoteseka aseme ni mateso gani waTZ wanayapata??????Mtoa mada anazungumzia watu ambao wanateseka huko majuu, iwe wanabeba box au vinginevyo,
wapo wengi tu huko wenye kazi ambazo zina lipa vizuri na hawateseki wanaisha maisha ya kawaida au mazuri tuu, sidhani kama Nguli anawazungumzia hawa...rejea post yake ya kwanza
dunia ya kwanza kazi ziko za kuanza masaa 24.ahaa nimeipenda sana topic hii.kweli huko ni kama jela. mfano kila siku kuamka saa 9 za usiku kwenda kusambaza magezeti. nikimaliza shule nitarudi.
Kuponda mbeba maboksi au mla vumbi ni mtazamo hasi. kwani katika hali halisi box lina faida zafuatazo
1.Kwa nchi kama nchi box linachangia sehemu fulani katika uchumi wa nchi ambapo katika mzunguko wa pesa neema hiyo humfikia aidha kwa kumlipa mshahara au kwa namna yoyote ile hata wale wanalioliponda box.Hapa napenda kutohoa kipengele hiki
"The number of Tanzanians in the U.S. is unknown, likely under 100,000, scattered in places where friends or family landed first. They have formed mutual support associations in areas where there are more than a few much like other immigrant groups in the past. Like other immigrants Tanzanians send money home, an estimated $10.9 million per year. So they are significant contributors to well being in Tanzania."source www.fotanzania.org
Kama watu laki moja wanaweza kuchangia uchumi wa nchi kwa kiasi hiki kwanini tuwaponde?Ninaamini zikikusanywa data za kutosha hapa jamvini kutoka kila kona duniani walipo wabeba maboksi utakuta ni pato kubwa sana kwa taifa letu.
2.Box linawapatia kipato ambacho huenda kwa hapa nyumbani asingeweza kukipata suala hili linabaki kuwa ni suala binafsi na faida zake ziko wazi sina haja ya kuzitaja.
3.Hali kadhalika tusisahau kuwa wakati wenzetu wanajipinda kubeba box nje ya nchi wamemuacha mlavumbi ndani ya nchi anaiendesha nchi na wakirudi wanakuta hakuna kilicho simama hivyo pia hatuna budi kuthamini mchango wa mla vumbi badala ya kuponda.
4. Kimsingi kazi ni kazi bora mkono uende kinywani,hakuna haja ya kupondana kwani wote twajenga nyumba moja sasa kwanini tugombee fito?