Vitumbua vya mama mwajuma ndio vimekukuza mpaka kufikia hapo na hawa nduguzo uliowaacha huku ndio wanakuala hivyo na ndio maana mkiondokaga huku mnaondoka na vitumbua 100, chapati 100, unga wa dona, maharage, n.k.Nyie ongopeaneni tu huko bongo lakini watu haturudi ng'o
Yani mimi niache kula bata hapa na toto la kitasha eti nirudi bongo kula vitumbua vya mama Mwajuma,thubutuu!!
Ukifukuzwa huko utakuja tuu......