Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

Nyie ongopeaneni tu huko bongo lakini watu haturudi ng'o
Yani mimi niache kula bata hapa na toto la kitasha eti nirudi bongo kula vitumbua vya mama Mwajuma,thubutuu!!
Vitumbua vya mama mwajuma ndio vimekukuza mpaka kufikia hapo na hawa nduguzo uliowaacha huku ndio wanakuala hivyo na ndio maana mkiondokaga huku mnaondoka na vitumbua 100, chapati 100, unga wa dona, maharage, n.k.

Ukifukuzwa huko utakuja tuu......
 
naomba kuchangia kidogo hapa,

Suala sii kubeba maboksi au vyuma au nini vile... suala ni kujua mstakabali wako wa maisha - destiny. nawashauri vijana wenzangu waliko majuu wajizoeze kuwekeza nyumbani, tuma hata laki1 kila mwezi tukufugie kuku wa kinyeji au mbuzi au tukununulie kiwanya nje ya mji kwa bei poa. mkisubiri pesa zijae ndo mrudi tz mtakuwa mmechemsha sana... maeneo ya wazi au yaliyo nje ya Dar kama wilaya za mkoa wa pwani, moro na tanga zinachangamkiwa sana na watu kwa ajili ya kilimo na ufugaji. Mkichelewa mtakuta hata kisarawe kiwanja au hekta moja ni milioni ...kwa sasa ni bei poa kidogo.

Pia maelimu yenu tunayaitaji sana.

Tthis is land of opportunity... sijatembea sana duniani lakini kwa hekima yangu naona TZ ndo sehemu rahisi kuishi nikimaanisha maisha sio ghali sana.
 
Vitumbua vya mama mwajuma ndio vimekukuza mpaka kufikia hapo na hawa nduguzo uliowaacha huku ndio wanakuala hivyo na ndio maana mkiondokaga huku mnaondoka na vitumbua 100, chapati 100, unga wa dona, maharage,nk

Ukifukuzwa huko utakuja tuu......
Acha kuua hivo shangazi. wahurumie viumbe wenzio. yani nimecheka kaa chizi.
 
Vitumbua vya mama mwajuma ndio vimekukuza mpaka kufikia hapo na hawa nduguzo uliowaacha huku ndio wanakuala hivyo na ndio maana mkiondokaga huku mnaondoka na vitumbua 100, chapati 100, unga wa dona, maharage,n.k.

Ukifukuzwa huko utakuja tuu......

Hakika wwe shangazi! te te te te! tunajisahau mapema sana, tumetoka mavumbini/ TZ na mavumbini/ TZ tutarudi....
 
Huyu jamaa ni Noma sana katika kufanya mambo ya mipango ya simu na kufanya Tigo kuwa imara sana
 
Vitumbua vya mama mwajuma ndio vimekukuza mpaka kufikia hapo na hawa nduguzo uliowaacha huku ndio wanakuala hivyo na ndio maana mkiondokaga huku mnaondoka na vitumbua 100, chapati 100, unga wa dona, maharage,n.k.

Ukifukuzwa huko utakuja tuu......
Hiyo wanaita 'dua la kuku halimpati mwewe'!!! Na utasubiri sana kama unavyosubiri kurudi kwa Yesu, bwahahahahaah!
 
P53 heshima kwako na nashukuru kwa majibu yako ya hovyo hovyo.

Kama wewe una kazi nzuri ni mmoja kati ya wengi walioko huko na hongera kwa kuwa na kazi nzuri kama kweli.

Kama nilienda na kuwakuta hivyo wako kumi gheto ulitaka nisemeje?

Ndio wengi walienda kusoma na hawakusoma na maana yangu ni kwamba ninaowajua mimi wana first degree wakasema wanaenda for masters degree na hawakusoma.

Nasisitiza, wengi wenu mlio huko hamna maisha mazuri basi tu mnaona aibu kusema. hata walioona hilo wakaamua kurudi mbona wao wanasema. huku bongo sasa kuna msemo unasema, sidanganyiki!

Nisichopenda ni vile unavyochukulia watu wanaoishi nje kiujumlajumla. Unasema Wengi wetu, wangapi unaowajua wewe? Hiyo sensa uliifanya lini na kwa watanzania wangapi wanaoishi nje,nchi ipi na ipi?

Anyway, hata kama watu wanakula msoto wewe shida yako nini afterall hawakuombi mkate wao wa kila siku? Next time ukibahatika kuja tena niPM halafu utafikia kwangu, sawa??
 
Kwa taarifa ya wasiojua huko nje wako watanzania wenye fani mbalimbali including madaktari, maengineer, IT programmers, registered nurses, walimu, wahasibu, auditors nakadhalika. Kuna consulting firms za watanzania including IT ambao wametoa ajiri kwa watu including wahindi.

Acha waimba ngojera waendelee kuimba, hata kama kuna wanaobeba mabox kwani nyie shida yenu nini kama sio fii hii ni nini?
 
Kuna kamsemo ka kiswahili kanasema kwamba, usichokijua ni usiku wa kiza. Waacheni waendelee kuimba ngojera zao hao wakati huko ughaibuni wenzao wanakula kuku.
 
Kwa taarifa ya wasiojua huko nje wako watanzania wenye fani mbalimbali including madaktari, maengineer, IT programmers, registered nurses, walimu, wahasibu, auditors nakadhalika. Kuna consulting firms za watanzania including IT ambao wametoa ajiri kwa watu including wahindi.

Acha waimba ngojera waendelee kuimba, hata kama kuna wanaobeba mabox kwani nyie shida yenu nini kama sio fii hii ni nini?

MNDEE thank you very much, huu ndio ukweli, na hakuna wa kuupinga hata kidogo... Lakini unadhani kuna memba humu JF asiyejua hayo?? Kwa stahili yetu na maisha yetu, na shida zetu hapa bongo, kuna mtu kweli mpaka anafungua email account hayajui haya?

Ni kauchokozi fulani kanafanyika halafu tunadandia treni kwa mbele na kuchapwa na upepo

Hizi nyingine ni chachandu ndugu yangu, zinapita na zinarudi!!
 
Big up Triplets kweli umenena, watu wanafikiri kila aliyokuwa ughaibuni ana beba box. Wengine huko wanakazi zao za maana tena wanategewa na wazawa wa huko.

Mkuu Pretty,

Mimi nilidhani "wabeba Mabox" ni jina tunalotumia tunapowazungumzia Watanzania wenzetu walioko na wanaofanya kazi nje ya nchi lakini sio maana yake halisi kwamba wanabeba maboksi!!!!!

Tiba
 
Hata mimi!!!😛
 
Nguli nakukubali,alafu bwana wakirudi balaa tupu.
Vyeti sasa itakua mgogoro mkubwa!Nguli endelea kutoa tu mimi is your first guard.
 
Mkuu Pretty,

Mimi nilidhani "wabeba Mabox" ni jina tunalotumia tunapowazungumzia Watanzania wenzetu walioko na wanaofanya kazi nje ya nchi lakini sio maana yake halisi kwamba wanabeba maboksi!!!!!

Tiba

Mtoa mada anazungumzia watu ambao wanateseka huko majuu, iwe wanabeba box au vinginevyo,
wapo wengi tu huko wenye kazi ambazo zina lipa vizuri na hawateseki wanaisha maisha ya kawaida au mazuri tuu, sidhani kama Nguli anawazungumzia hawa...rejea post yake ya kwanza
 
ahaa nimeipenda sana topic hii.kweli huko ni kama jela. mfano kila siku kuamka saa 9 za usiku kwenda kusambaza magezeti. nikimaliza shule nitarudi.
 
Ninachojua mimi hamna waTZ wanaoteseka UK,US na kama mtoa mada anasema wapo waTZ wanaoteseka aseme ni mateso gani waTZ wanayapata??????

Ninachojua mimi watu wanafanya kazi masaa mengi (kwa ajili watu wamezoea uvivu basi haya wanayaona mateso), holiday TZ wanaenda, hawaombi mtu pesa, pesa nyumbani wanatuma na kusomesha ndugu zao.

Wapo waTZ wanamakampuni yao, wapo walioajiriwa, wapo wanaofanya kazi za kila aina including maboxi. Tukiendelea na wabeba maboxi, ninachojua mimi wanafanya sana kazi, nyumba mortage wanalipa, wanasomesha wadogo zao university africa, wanakwenda TZ holiday mara moja kwa mwaka na wakifika bongo ni matumizi kwenda mbele; kama boxi linakupa raha zote hizi kwa nini watu wasilibebe kwa sana!!!!!

Binafsi maboxi yamenisomesha UK, tena university ya maana.

ahaa nimeipenda sana topic hii.kweli huko ni kama jela. mfano kila siku kuamka saa 9 za usiku kwenda kusambaza magezeti. nikimaliza shule nitarudi.
dunia ya kwanza kazi ziko za kuanza masaa 24.
uvivu wako ndio unakufanya uone kuamka saa 9 usiku ni kama jela, alafu nyinyi ndio mnaoleta maendeleo TZ du.
Je magazeti bongo yanasambazwa saa ngapi??????
ulaya saa tano usiku preview ya front page inakuwa tiyari na printing zinaanza saa sita na delivery zinaanza saa tisa, saa kumi na mbili ukienda Tesco/news agent unapata gazeti, sasa cha ajabu hapo ni nini. hata editors wanamaliza kazi late
 
Kuponda mbeba maboksi au mla vumbi ni mtazamo hasi. kwani katika hali halisi box lina faida zafuatazo
1.Kwa nchi kama nchi box linachangia sehemu fulani katika uchumi wa nchi ambapo katika mzunguko wa pesa neema hiyo humfikia aidha kwa kumlipa mshahara au kwa namna yoyote ile hata wale wanalioliponda box.Hapa napenda kutohoa kipengele hiki
"The number of Tanzanians in the U.S. is unknown, likely under 100,000, scattered in places where friends or family landed first. They have formed mutual support associations in areas where there are more than a few much like other immigrant groups in the past. Like other immigrants Tanzanians send money home, an estimated $10.9 million per year. So they are significant contributors to well being in Tanzania."source www.fotanzania.org
Kama watu laki moja wanaweza kuchangia uchumi wa nchi kwa kiasi hiki kwanini tuwaponde?Ninaamini zikikusanywa data za kutosha hapa jamvini kutoka kila kona duniani walipo wabeba maboksi utakuta ni pato kubwa sana kwa taifa letu.

2.Box linawapatia kipato ambacho huenda kwa hapa nyumbani asingeweza kukipata suala hili linabaki kuwa ni suala binafsi na faida zake ziko wazi sina haja ya kuzitaja.

3.Hali kadhalika tusisahau kuwa wakati wenzetu wanajipinda kubeba box nje ya nchi wamemuacha mlavumbi ndani ya nchi anaiendesha nchi na wakirudi wanakuta hakuna kilicho simama hivyo pia hatuna budi kuthamini mchango wa mla vumbi badala ya kuponda.

4. Kimsingi kazi ni kazi bora mkono uende kinywani,hakuna haja ya kupondana kwani wote twajenga nyumba moja sasa kwanini tugombee fito?
 
Mlango,

Kula tano, kwani unafikiri wanaobonda wako interested kwenye facts basi? Wanabonda kama manazi tu.
 
Thats what I am talking about.... Nashkuru kwa uliyoweka mkuu, labda dharau zitapungua humu jamvini
 
Back
Top Bottom