Khadija Kopa avunja ukimya anatafuta mume

Khadija Kopa avunja ukimya anatafuta mume

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Queen wa Mwanyamala asiyekwisha utamu mama Zuchu A.K.A Makopa ameweka wazi kuwa sasa amechoka kukaa peke yake, anatafuta mwenza ila awe mtu mzima. Sasa ameamua kutulia.

USSR
20230211_092035.jpg
 
Hadi mtu anasema kua ameamua kutulia,aisee yawezekana amevuruga sana,na katahadharisha kua awe mkubwa,ujue labda vijana wa mjini wamevuruga pia sana,na wanavuruga ila sasa anaona noma kutambulisha mtu wa umri mdogo kua ndiye mume.
 
labda leo nirudie maneno yangu. - Mwanamke hata awe na mapesa yote, au madaraka yote au madegree yoote doc yeye, prof yeye takataka zote hizo haziwezi kuziba ombwe ndani yake. Mwanamke yeyote anamuhitaji mwanaune.

licha ya harakati za mafeminist kuwapumbaza wanawake ati wanaweza kua na furaha wenyewe hata wao wenyewe mafeminists wanawaka moto wa upweke ndani yao.
 
Back
Top Bottom