Khadija Kopa avunja ukimya anatafuta mume

Khadija Kopa avunja ukimya anatafuta mume

labda leo nirudie maneno yangu. - Mwanamke hata awe na mapesa yote, au madaraka yote au madegree yoote doc yeye, prof yeye takataka zote hizo haziwezi kuziba ombwe ndani yake. Mwanamke yeyote anamuhitaji mwanaune.

licha ya harakati za mafeminist kuwapumbaza wanawake ati wanaweza kua na furaha wenyewe hata wao wenyewe mafeminists wanawaka moto wa upweke ndani yao.
Hilo siyo kwa wanawake tu, wanaume ndiyo zaidi wanahitaji wanawake katika kila mambo yao, toka wapo tumboni mpaka wanakufa, hawawezi kuwa na maisha bora bila mwanamke.
 
Hilo siyo kwa wanawake tu, wanaume ndiyo zaidi wanahitaji wanawake katika kila mambo yao, tika wapo tumboni mpaka wanakufa, hawawezi kuwa na maisha bora bila mwanamke.
Ni kweli ila wanaume HAWAJAPINGA kua hawawahitaji wanawake mkuu. Ila wanawake na harakati zao za "kujikomboa" mathalani feminism wana propaganda za wazi kabisa kuhusu "kujikomboa" na wazizi kuwapiga vita wanaume, na kwamba hawawahitaji na hata kwenda mbali na kujilinganisha na wanaume au hatatkujiona bora
JamiiForums1503416758.jpg
je kwa wanaume unaweza kunitajia movement yoyote ya kuwapiga vita wanawake ?!!

Screenshot_20220408-142809_Quora.jpg
 
Hilo siyo kwa wanawake tu, wanaume ndiyo zaidi wanahitaji wanawake katika kila mambo yao, tika wapo tumboni mpaka wanakufa, hawawezi kuwa na maisha bora bila mwanamke.
mwanaume kumhitaji mwanamke kwa dunia ya sasa ni pesa yako tu unapata kila unachotaka na bado ukawa bachelor ila mwanamke hata awe na pesa vipi atahitaji kidume hamnaga ubavu wa kuvumilia upweke, utadanga wee lakini dakika za maheruhi utatafuta tu wa kutulia nae la sivyo utakufa na sonona huna furaha hata chembe, ila mwanaume akifa single anakufa na furaha hana stress tena huwa wanapiga umri mwingi ukilinganisha na wale wanaoishi na wanawake maana pressure na visugari haviwaachagi salama
 
Mwenye namba yake naiomba kwa haraka sana kabla sijawahiwa pls,

Halua haina makombo.
 
Hivi bado anaishi mwananyamala nihamie huko Next week kumbe jimbo lipo wazi na alivyo tipwa tipwa ni kufyonza mirija ya uzazi mpka Zuchu aone wivu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wacha niongee na mshua wangu achukue toto la kizanzibari hilo. Ili nisaidiane na zuchu kulipa ada za wadogo zangu.
 
Back
Top Bottom