cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kheeeeh wee bibi upooo?? Nimekumic mnoo.Hilo siyo kwa wanawake tu, wanaume ndiyo zaidi wanahitaji wanawake katika kila mambo yao, tika wapo tumboni mpaka wanakufa, hawawezi kuwa na maisha bora bila mwanamke.