PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Wanaohitaji kuchakata mvi fursa hiiQueen wa Mwanyamala asiyekwisha utamu mama Zuchu A.K.A Makopa ameweka wazi kuwa sasa amechoka kukaa peke yake, anatafuta mwenza ila awe mtu mzima. Sasa ameamua kutulia.
USSR View attachment 2513463