Khadija Kopa avunja ukimya anatafuta mume

Khadija Kopa avunja ukimya anatafuta mume

kwani ana shilingi ngapi? Wajumbe tuliacha kuoa.Kama ana dau kubwa niko tayari kusaliti chama.
 
Huyu bi mkubwa kila anaemuoa anakufa ashafiwa wame km wanne hiv huyu,atulie aish mwnyw jua lishazama hilo
Kuna wananzengo wanadai eti baba yake Zuchu yupo hai, kama ni kweli basi kuna njemba nyingine waliachana na bado ziko hai.
Vijana ambao hamjaoa fursa hiyo.
 
Hilo siyo kwa wanawake tu, wanaume ndiyo zaidi wanahitaji wanawake katika kila mambo yao, toka wapo tumboni mpaka wanakufa, hawawezi kuwa na maisha bora bila mwanamke.
Nimekucheck PM..😉
 
Ukiona anataka mtu mzima ujue hawezi tena kuhimili kupelekewa moto, ameshapita stage ya ushangazi
 
Mtu mzima kama yeye kutafuta Mume kwenye media ,anamuaibisha mwanae Zuchu ,kwani wale wa mwanzo nao aliwatafuta online?
Sasa ndiyo amebaini ya kuwa mitandao inarahisha na itaufikisha ujumbe wake wa kutafuta mwenza kiurahisi na ujumbe utafikia waungwana wengi kwa haraka.
I presume it's an urgent matter to her, wale ambao hamjaoa kwa itakayempendeza ajitolee 'kumsitiri' bibie.
 
Back
Top Bottom