Khadija Kopa avunja ukimya anatafuta mume

Khadija Kopa avunja ukimya anatafuta mume

labda leo nirudie maneno yangu. - Mwanamke hata awe na mapesa yote, au madaraka yote au madegree yoote doc yeye, prof yeye takataka zote hizo haziwezi kuziba ombwe ndani yake. Mwanamke yeyote anamuhitaji mwanaune.

licha ya harakati za mafeminist kuwapumbaza wanawake ati wanaweza kua na furaha wenyewe hata wao wenyewe mafeminists wanawaka moto wa upweke ndani yao.
Wanawake wengi sana wanajidanganya.

Wanakimbia ndoa zao badae wanaishia kuwa wadangaji mjini.
 
Back
Top Bottom