Khadija Kopa avunja ukimya anatafuta mume

Hadi mtu anasema kua ameamua kutulia,aisee yawezekana amevuruga sana,na katahadharisha kua awe mkubwa,ujue labda vijana wa mjini wamevuruga pia sana,na wanavuruga ila sasa anaona noma kutambulisha mtu wa umri mdogo kua ndiye mume.
 
labda leo nirudie maneno yangu. - Mwanamke hata awe na mapesa yote, au madaraka yote au madegree yoote doc yeye, prof yeye takataka zote hizo haziwezi kuziba ombwe ndani yake. Mwanamke yeyote anamuhitaji mwanaune.

licha ya harakati za mafeminist kuwapumbaza wanawake ati wanaweza kua na furaha wenyewe hata wao wenyewe mafeminists wanawaka moto wa upweke ndani yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…