Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

"Nakuja, ila sio kwa kukimbia, natembea taratibu, nikikimbia nitaanguka na miguu enyewe haina vidole"

Wee uliandika "kimbia njoo" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah nilikwambia kimbia njoo

wEwe hauna vidole vya miguu? Mbona kutishana
 
Yeye ni mke wa mtu, elewa mke wa mtu.
Hizo story zenu za vijiweni, mtuachie sie tunao wajua.

Au kisa cha yule dogo ndo mnasema haliwi? Unajua maana ya "versatile"?
Yap najua anaekula na kuliwa au mchicha mwiba.afu nyi mashoga b
hamna huruma kuna demunmm
Aliendekeza urafiki na shoga mmoja akamfumania mmewe anamla cha ajabu jamaa kamuacha mke kampangia nyumba shoga .
 
Inawezekana anapenda ndogo...na mademu wa sasa hivi wengi wanatumika milango yote hususani ukiwa na pesa
 
Yap najua anaekula na kuliwa au mchicha mwiba.afu nyi mashoga b
hamna huruma kuna demunmm
Aliendekeza urafiki na shoga mmoja akamfumania mmewe anamla cha ajabu jamaa kamuacha mke kampangia nyumba shoga .
Huruma kvp? Kwan hao wanawake wenyewe hawaibiani mabwana?
Tatizo sio B, Tatizo ni mumewe, hata B wenyewe kwa wenyewe wanakwapuliana mabwana.

Ktk life langu, hakuna rafiki anae mjua baba tamu angu, iwe ke au B, noo baba tamu angu kujulikana kwa mashost zangu.

Ila B wanaotembea na waume za watu, wananshangazaa, hawaogopi kurogwa? Mbaya zaidi ukute na mkewe anamfahamu, khaaaah.

Big nooo
 
Kwa nani sasa, PhD au huyo dogo P?
Mkuu wa Mkoa tena? Kuna mtu alisema hapa Mbunge!
 
nyie nyie nyiee,embu leteni huo ubuyu basi
 
Oooh sasa nimekuelewa.
Kumbe kuonekana na Vanny ndiko kulikomuharibia!

Ila mimi katika ubuyu ninaousubiri kwa hamu kutoka kwa Mange ni zile video za Lulu na Vanny, unaambiwa walirekodi kabisa!
Mange alitoa dau hadi la 5M!

Siku akizipata itakuwa balaa!
 
GEEDA huyu wa kujurusha IG, ana jipya gani sasa? Afu naona kaanza ku trend mwaka jana, akat nimekaa nae sana classic saloon sinza mugabe.

Huyo msaniii nae poyoyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba alikuwa anahudumu hapo saloon?
 
Wee emu nirudi kwa fudenge nkaulize kuhusu fei na lokolee, mbna sina habari? Ingekua kweli mbna ningeshajua woiiiiih
Nenda kaulize vizuri, Lokole alijua kulipambania hilo penzi la kishetani 🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wachezaji wanapeana pisi na hawaulizii.
Sijui hawapati mda wa kutongoza, wanakuwadiana tyuuh.
Jamani tuambieni basi wa Diarra na Aziz Ki.
Niffer alivyojisogeza kwa Diarra sijui ilikuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…