Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

Caren ndio sifa yake kuu, unaambiwa ni balaa hana simile!

Sumi nae ni mdangaji mzoefu na anajirusha sana. Aucho alimpenda kweli na wakazaa kabisa ila ndio unaambiwa bibie alikuwa anamuacha mtoto mwenyewe anaenda kujirusha.

Aucho akamchukua mtoto ndio wakapelekana polisi, sijui iliishaje sasa!
Wee Aucho hela zote za Yanga, kashindwa nn kumtuliza yule dada khaaah.
Duuh bas kazii ipoo.
 
Naona wachezaji wenyewe wameshajua hawa ni wadangaji tu hawawekezi hisia zao.

Maana haiwezekani watu timu moja muda mwingi wako wote wasijue wanashea mwanamke!
Ila, sijawahi kuwaona wakiwa na ukaribu hata mazoezini... Pacome & Aucho.

Mimi Bongo movie ndio maana huwa siangalii hata kwa hela, huo ujinga wa wadangaji & marioo ulishanishinda.
Sio wanawake tu, hata wanaume pale wako sokoni kunasa mishangazi, mifano ipo mingi.
Na u gay pia.
 
Kwahiyo inakuwaje sasa? Kwamba ushindi wa Yanga inategemea Caren kaamkaje? Maana kashikilia nguzo za Yanga hapo!

Mimi huyu akiwa jirani yangu tutahama kwakweli, nina wivu siwezi kuvumilia nikimkuta kaka mzuri anamuangalia [emoji1787] [emoji1787]
Tushamzoea anakujaga na tako la nyani analipaki hapa ila akitembea lzm kazi zisimame[emoji23]
 
View attachment 2860213

NI MTIKISIKO!
Kiungo punda, kisiki wa Klabu ya Yanga Khalid Aucho ‘Daktari’ na Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’ kwa pamoja wako mapenzini na mwanadada mrembo wa kuitwa Caren Simba.

Kiungo huyo Mganda anayetajwa kama sehemu ya mafanikio ya Yanga kwa msimu wa tatu mfululizo, na msanii asiyekaukiwa matukio, Harmonize haifahamiki kwa uhakika ni nani aliyeanza kuwa na mrembo huyo, na kama kila mmoja anafahamu uwepo wa mwenzake!

Kwa kiasi kikubwa, kuna uwezekano Harmonize anafahamu uwepo wa ‘Daktari’ Aucho kama bwana mwenza kutokana na mienendo yake ya ‘kumega kisela’ ambayo huiweka wazi hadi kutungia wimbo ‘Side Niggah’

NI WAFUASI WA SHEIKH KIPOOZEO…
Kutokana na historia ya wanawake waliowahi kujihusisha nao kimapenzi, wote wawili Aucho na Harmonize ni wazi ni wapenzi wa neema za Allah a.k.a mizigo kama asemavyo kipoozeo.

Khalid aliyekuwa kwenye mahusiano pekee yaliyofahamika na mwanadada kutokea kituo cha habari cha Uganda BBS Sumi, huku Harmonize akiwa na Kajala… wote wakiwa ni wanadada ‘waliojaaliwa’ neema hizo za Allah!

Ex wa Aucho, Sumi
View attachment 2860225


Mwanadada huyo Caren ambaye ni mzazi mwenza wa Baraka Prince, shughuli zake zinazofahamika ni uigizaji na kwa kiasi kidogo ameonekana katika video za muziki wa Bongo Fleva huku wimbo maarufu ukiwa ni Single Again kutoka kwa Harmonize.

AJISOGEZA KWA PACOME ZOUZOUA!
View attachment 2860223
Kwa habari za chinichini ni kwamba mwanadada huyo yuko mbioni kulisaka penzi la Mchezaji ‘Profesa’ Pacome pia kutokea Yanga.
Wakati jitihada hizo za Caren juu ya Pacome zingali zikiendelea, Khalid Aucho bado anamshikilia mrembo huyo.

Itakuwaje kama Pacome akinasa Ulimbo? Yatakuwa kama ya Kevin De Bruyne na Thibaut Courtois kwenye bifu lisiloisha juu ya mwanamke?
Mungu apishilie mbali!

Heri ya Mwaka Mpya wadau wangu katika ubuyu…

Chanzo chetu ni kilekile nyeti,

Nifah.
Aisee hatari na mwanamke akishaonja de libolo la mchezaji aisee hawezi acha kutembe na wacheza mpira maana nawachakata mbususu kisawasawa
 
Back
Top Bottom