Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Thread starter
- #101
Caren ndio sifa yake kuu, unaambiwa ni balaa hana simile!Duuh huyu dada hajui kukataa hata, khaaaah
Sasa kuwachanganya aucho na pacomee hiyo vepee.
Ila Aucho kumuacha sumi, mbna ni mzuri kwa kila kitu yule dada.
Huenda walishindwana kitu tyuuh.
Sumi nae ni mdangaji mzoefu na anajirusha sana. Aucho alimpenda kweli na wakazaa kabisa ila ndio unaambiwa bibie alikuwa anamuacha mtoto mwenyewe anaenda kujirusha.
Aucho akamchukua mtoto ndio wakapelekana polisi, sijui iliishaje sasa!