Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusema baby mama wa Aucho, Sumi ni mkali kuliko Caren? Babu jamaniiiiiNimejaribu kuangalia huyo Careen kama atakuwa na walau kidole kimoja chenye kucha fupi kwaajili ya kazi ya usafi kunako Ikulu ya Magogoni sijakiona.
Sijui nilitaka kusema nini.......
Ila kwa huyo Sumi, Aucho anahitaji tumpe salute...pale alijua kulenga 😜.
Sumi anahitaji kupewa kadi ya hela za pension pamoja na password kabisa
Hizi tetesi ziwe kweli ama uongo ila Wazee tunasema kweli Vijana wanafaidi 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
🤣Wewe tena usijue? Hao si ndio 'watu' wako?
Sema kwa Uganda ni slay 👑 mkubwa but hainaga makombo hawa wote nitawapata tu soon 🤤Nae wa motooo, Aucho ni mfuasi mtiifu wa Sheikh Kipoozeo 🤣🤣
Huyu yeye hatumii ile mbinu mpya mjini ya gym? Yani umenifanya nikimuona mdada anapost yuko gym nacheka sana 😂 😂Kwahiyo Tako KUBWA ndio chanzo kikuu cha mapato. Ila ile liquor store ni side hustle.
Na kujipost Instagram, uvixen, uigizaji na siku hizi ni mwanamziki, hizi ni marketing strategy 🤣
Mimi na umbea wangu wote nilikuwa sijui 😂
Huyu yeye hatumii ile mbinu mpya mjini ya gym? Yani umenifanya nikimuona mdada anapost yuko gym nacheka sana 😂 😂
Yes, yafaa yalipiwe kodi maana inaonekana anaingiza mtonyo mrefu sana.
Haya leta habari zake sokoni sasa, amekaaje? Dau likoje na ni stahiki ya dau au anazingua? 😜Hii dunia ni ndogo sana. Hizo taarifa nipewaga na jamaa zangu machawa wa Madon, ndio kazi zao kuwatafutia pisi Madon 🤣🤣🤣
Naskia Umbea unaongeza uwezo wa kufikiri.Nimecheka sanaaaaaaa
Nina kiungo punda nyeti na mimi, haniangushi. Nikitulia ananishtua, wewe kuna hii hapa!
Naingia mzigoni, raha sana.
Kohoh kohoh mabunjuh wacha yavurugweh ukiingia mjini mtu mzima kuna mengi ya kuhadithiwa!View attachment 2860213
NI MTIKISIKO!
Kiungo punda, kisiki wa Klabu ya Yanga Khalid Aucho ‘Daktari’ na Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’ kwa pamoja wako mapenzini na mwanadada mrembo wa kuitwa Caren Simba.
Kiungo huyo Mganda anayetajwa kama sehemu ya mafanikio ya Yanga kwa msimu wa tatu mfululizo, na msanii asiyekaukiwa matukio, Harmonize haifahamiki kwa uhakika ni nani aliyeanza kuwa na mrembo huyo, na kama kila mmoja anafahamu uwepo wa mwenzake!
Kwa kiasi kikubwa, kuna uwezekano Harmonize anafahamu uwepo wa ‘Daktari’ Aucho kama bwana mwenza kutokana na mienendo yake ya ‘kumega kisela’ ambayo huiweka wazi hadi kutungia wimbo ‘Side Niggah’
NI WAFUASI WA SHEIKH KIPOOZEO…
Kutokana na historia ya wanawake waliowahi kujihusisha nao kimapenzi, wote wawili Aucho na Harmonize ni wazi ni wapenzi wa neema za Allah a.k.a mizigo kama asemavyo kipoozeo.
Khalid aliyekuwa kwenye mahusiano pekee yaliyofahamika na mwanadada kutokea kituo cha habari cha Uganda BBS Sumi, huku Harmonize akiwa na Kajala… wote wakiwa ni wanadada ‘waliojaaliwa’ neema hizo za Allah!
Ex wa Aucho, Sumi
View attachment 2860225
Mwanadada huyo Caren ambaye ni mzazi mwenza wa Baraka Prince, shughuli zake zinazofahamika ni uigizaji na kwa kiasi kidogo ameonekana katika video za muziki wa Bongo Fleva huku wimbo maarufu ukiwa ni Single Again kutoka kwa Harmonize.
AJISOGEZA KWA PACOME ZOUZOUA!
View attachment 2860223
Kwa habari za chinichini ni kwamba mwanadada huyo yuko mbioni kulisaka penzi la Mchezaji ‘Profesa’ Pacome pia kutokea Yanga.
Wakati jitihada hizo za Caren juu ya Pacome zingali zikiendelea, Khalid Aucho bado anamshikilia mrembo huyo.
Itakuwaje kama Pacome akinasa Ulimbo? Yatakuwa kama ya Kevin De Bruyne na Thibaut Courtois kwenye bifu lisiloisha juu ya mwanamke?
Mungu apishilie mbali!
Heri ya Mwaka Mpya wadau wangu katika ubuyu…
Chanzo chetu ni kilekile nyeti,
Nifah.
Nipo mbali na hao machawa. Halafu msimu huu wa sikukuu wamekuwa bize mno. Wako tight wanawatafutia madon pisi za kuenjoy sikukuu 🤣🤣🤣Haya leta habari zake sokoni sasa, amekaaje? Dau likoje na ni stahiki ya dau au anazingua? 😜
Mi nakukubali sana kwa habari za sokoni 🤣 🤣
Sumi ni mkali kuliko huyo Careen, kwa maoni yangu lakini...Unataka kusema baby mama wa Aucho, Sumi ni mkali kuliko Caren? Babu jamaniiiii
Hakuna tetesi hapa Babu, hizi ni habari za uhakika vijana wanapokezana hapo!
Aiseee mjini hapa sio poa, mi msimu wa sikukuu nitahakikisha nakaba kona zote maana ukilegeza kidogo tu ndio haya sasa.Nipo mbali na hao machawa. Halafu msimu huu wa sikukuu wamekuwa bize mno. Wako tight wanawatafutia madon pisi za kuenjoy sikukuu 🤣🤣🤣
Kwa hilo huna baya ipo siku itabidi tukufanyie pati ya kukupongeza ubuyu usio na mipaka!Tupo sisi malaika wa ubuyu tumeletwa kuwahabarisha ya mjini...