Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

Sumi ni mkali kuliko huyo Careen, kwa maoni yangu lakini...

Angalia umbo lake na ngozi ilivyo laini...kingine hajatumika sana kuliko huyo Careen. Kuna namna ningeweza kuwaelekeza hapa namna ya kujua mali iliyotumika sana na yenye unafuu kidogo...

Nikifanya hivyo, nitakuja kuzua ugomvi huko majumbani kwenu...

Ni somo la mwaka 47 huko 😜🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Sikupingi Babu, na uko sahihi kwa upande wako...

Babu haya mambo umeanza lini lakini? Hii ndio faida ya kuwa na wewe hapa jamvini. Huoni mwenzako Mohamed Said anavyotupa historia mujarab?
Nyie ni tunu.
 
Aiseee mjini hapa sio poa, mi msimu wa sikukuu nitahakikisha nakaba kona zote maana ukilegeza kidogo tu ndio haya sasa.

Na wateja wakubwa ni waume za watu, hatari!
🤣
Sasa hivi pisi zinataka kung'ang'ania madon mpaka msimu wa valentine. Wajipost kuwa wamepewa zawadi na 'wapenzi'. Kumbe wamejinunulia kutokana na hela za masponsor mbalimbali 🤣
 
🤣
Sasa hivi pisi zinataka kung'ang'ania madon mpaka msimu wa valentine. Wajipost kuwa wamepewa zawadi na 'wapenzi'. Kumbe wamejinunulia kutokana na hela za masponsor mbalimbali 🤣
Kweli mjini kuna vurugu, kumbe ndio michezo yao hiyo?
Sisi tukitolewa dinner wenzetu wanapewa range tunakubali ndio uwezo wetu, loh!
 
Back
Top Bottom