Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 1,064
- 2,076
Fact kabisaKijeba maana yake mtu mfupi ndicho alichomaanisha, lakini kiuhalisia hawa wachezaji wanaoitwa wafupi including Messi huo ufupi ni wa kimichezo tu sababu football ni mchezo wa watu warefu, lakini nje ya mchezo kwa kimo chao wana urefu wa kawaida tu ambao Wanaume wengi tunaowaita warefu ndio wanao