Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Wanaukumbi.
BREAKING: KHALID MISH’AL ANAWEZA KUWA KIONGOZI ANAYEFUATA WA HAMAS
Kuna muundo wa uongozi uliowekwa
=========================
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1846918165936091304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Shekhe KiPOOZEO ana ujumbe kwa huyo KHALID MISH’AL na genge lake kuhusu mito ya pombe...Wanaukumbi.
BREAKING: KHALID MISH’AL ANAWEZA KUWA KIONGOZI ANAYEFUATA WA HAMAS
Kuna muundo wa uongozi uliowekwa
=========================
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1846918165936091304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hahahaha kuna tofauti kati ya hamas na nyie wagalatia nyie mnaogopa kufa wakati Hamas kifo ni ushindi🤣Kupewa uongozi wa kundi la kigaidi hakuna tofauti na kufungwa mabomu/vilipuzi mwilini ili ukajitoe muhanga.Huna hiyari hata ukilia na kutia huruma.Ukipewa tu wewe ni "the number one walking dead "!Alale peponi kamanda in advance!
Shekhe KiPOOZEO ana ujumbe kwa huyo KHALID MISH’AL
View: https://youtube.com/watch?v=LW7e3PudD7k&si=40SCQquznk6nWGTV
Najua basi?ndo maana nimeuliza. Huyo wa nyuma yake yupo wapi mpaka unataka aje mwingine?Unajua muasisi wa Hamas aliuliwa lini? Na Sasa Hamas wapo wapi?
Ushindi upi huo wakati huwa wanalia kwa uchungu wanapobanwa na kuuliwa?Acha uongouongo wewe na kujipa ujasiri hewa!Hahahaha kuna tofauti kati ya hamas na nyie wagalatia nyie mnaogopa kufa wakati Hamas kifo ni ushindi🤣
Huyu ndiyo muasisi wa Hamas aliuliwa mwaka 2004, baada ya kifo chake Hamas wanapambana Hamas ni ideology, siyo mtu huwezi kuwamaliza Hamas kwa kuuwa watu wao zadi ni kuwapa nguvu. Tofauti na nyie wagalatia mnaogopa kufa😀Najua basi?ndo maana nimeuliza. Huyo wa nyuma yake yupo wapi mpaka unataka aje mwingine?
Wewe punguani uwezi kuona Hamas anapigana na dunia nzima wanagombania ardhi yao leo wameweza kuuwa Wanajeshi wa Israel zaidi ya 20.000 kuna vilema zaidi ya 10.000 wewe shabiki mandazi upo Makete hujui lolote😂Ushindi upi huo wakati huwa wanalia kwa uchungu wanapobanwa na kuuliwa?Acha uongouongo wewe na kujipa ujasiri hewa!
Kuna nafasi nyingine ukipewa unaingia chumbani unalia kwanza...ila mbongo anaweza kufanya sherehe kwanza...Wanaukumbi.
BREAKING: KHALID MISH’AL ANAWEZA KUWA KIONGOZI ANAYEFUATA WA HAMAS
Kuna muundo wa uongozi uliowekwa
=========================
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1846918165936091304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Endelea kujikakamua hivyohivyo jamaa zako wanakamuliwa ngama huko.Wewe punguani uwezo kuona Hamas anapigana na dunia nzima wanagombania ardhi yao leo wameweza kuuwa Wanajeshi wa Israel zaidi ya 20.000 kuna vilema zaidi ya 10.000 wewe shabiki mandazi upo Makete hujui lolote😂
Hamas inapitia kipindi kigumu mno.Wanaukumbi.
BREAKING: KHALID MISH’AL ANAWEZA KUWA KIONGOZI ANAYEFUATA WA HAMAS
Kuna muundo wa uongozi uliowekwa
=========================
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1846918165936091304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Endelea kujikakamua hivyohivyo jamaa zako wanakamuliwa ngama huko.
Kwani Yahaya Sinwar kastaafu au nini kimemkuta?Wanaukumbi.
BREAKING: KHALID MISH’AL ANAWEZA KUWA KIONGOZI ANAYEFUATA WA HAMAS
Kuna muundo wa uongozi uliowekwa
=========================
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1846918165936091304?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kwani uliambiwa walienda picnic?
Hata wanaopewa hicho cheo wanajua watakuwa kwenye 'kill list' ya mazayuni.Kuna nafasi nyingine ukipewa unaingia chumbani unalia kwanza...
Mkuu wanaona haya kuandika kuwa kaangamizwa jana.Kwani
Kwani aliyetangulia amekwenda wapi?