'Khalid na Philemon walipendana' - Saida Karoli alimaanisha nini hapa?

'Khalid na Philemon walipendana' - Saida Karoli alimaanisha nini hapa?

Kupendana tu, urafiki wa kawaida kama na rafiki yako yoyote mlioshibana(kama unaye rafiki wa hivyo).
Wengine huwa hatuna marafiki zaidi ya business associates.
Sawa,asante kwa maelezo
 
Alimaanisha Philomena, ila nyimbo za huyu dada zinatafsiri ngumu ngumu alikuwa anaimba ilimradi inaenda na tune..
 
No way,stow away,inaonekana kuna kitu kinakusumbua,rudi kwenye imani yako usaidiwe haraka,muone mchungaji/Sheikh au muone mwanasaikolojia mueleze maelezo hayahaya atakupa majibu.
Sawa kiongozi wangu nimekuelewa,
 
Pamoja na hayo kaimba nyimbo za kiswahili nzuri sana ikiwepo ya aliyo mshirikisha Banana Zoro kama alikuwa ajui kusoma mashahiri alikuwa ana hadithiwa na kumeza au studio walitumia njia gani ?
 
Back
Top Bottom