Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Na shule hamna.Ikumbukwe na Kiswahili kilikuwa kinampiga chenga,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na shule hamna.Ikumbukwe na Kiswahili kilikuwa kinampiga chenga,
Daaaah, umewaza nini mkuu? [emoji16]
...Chambua kama karanga mama, chambua kama karangaaaaa....
... Halidi na Filimoni walipendana, mapenzi yao yakadumu....
...wenye wivu wajinyinge mama, wenyewe wivu wajinyongeeeee...
Wenye wivu wajinyonge sana, wenye wivu wajinyongeeee....
My Take
Naupenda snaa mziki wa Saida, kwangu mimi ndio mwanamziki wa kike mwenye sauti inayonivutia zaidi.
Shida yangu ni kujua hasa ujumbe wake kuhusu Halidi na File. Alitaka kutuambia nini dada Saida. Walipendania nini hawa ndugu wawili tena wa kiume, kiasi cha kuwataka wenye wivu wajinyonge?
Wewe hujazaliwa mimi namfahamu Saida.Mama usimchukulie hivyo Saida
Hujui kihaya ingesikiliza nyimbo za kilugha na kuelewa usingekomenti hivi.
Elimu na kuimba wapi na wapi!!?...Siti bint Saad alisoma wapi!?Hata kwa elimu ya Saida huenda hakujua hata anachoimba
Usimshushe Saida hivyo akiwa ni msanii pekee aliyeimba Kilugha (Kihaya) na kusikika Tanzania nzima.Hata kwa elimu ya Saida huenda hakujua hata anachoimba
Wewe alihojiwa na akasema mwenyewe.Usimshushe Saida hivyo akiwa ni msanii pekee aliyeimba Kilugha (Kihaya) na kusikika Tanzania nzima.
Kuhusu Khalid na Philimon alishatolea ufafanuzi kuwa ni Khalid na Philimonia.
Ana elimu ya kujua kuwa mapenzi ya jinsia moja hayakubaliki na siyo tamadumu za kihaya.
...Chambua kama karanga mama, chambua kama karangaaaaa....
... Halidi na Filimoni walipendana, mapenzi yao yakadumu....
...wenye wivu wajinyinge mama, wenyewe wivu wajinyongeeeee...
Wenye wivu wajinyonge sana, wenye wivu wajinyongeeee....
My Take
Naupenda snaa mziki wa Saida, kwangu mimi ndio mwanamziki wa kike mwenye sauti inayonivutia zaidi.
Shida yangu ni kujua hasa ujumbe wake kuhusu Halidi na File. Alitaka kutuambia nini dada Saida. Walipendania nini hawa ndugu wawili tena wa kiume, kiasi cha kuwataka wenye wivu wajinyonge?
Siku hizi wasomi ndiyo wajingaVipi kwani au una nongwa
Kwa majibu haya siendelezi mjadala nawe nisije nikakuvunjia heshima Mama Mkubwa.Wewe alihojiwa na akasema mwenyewe.
Vipi kwani au una nongwa
Yeye mwenyewe alikiri hakusoma, hata tukawa na mashaka Ruta ataiba sana kupitia kipaji cha SaidaWewe hujazaliwa mimi namfahamu Saida.
Kama kusoma na kuandika kajua miaka hii.
Tuendelee na mjadala bila jazbaKwa majibu haya siendelezi mjadala nawe nisije nikakuvunjia heshima Mama Mkubwa.
Lakin ukisikiliza nyimbo zake na ukiwa unelewa lugha zina message Sana...Wewe alihojiwa na akasema mwenyewe.
Vipi kwani au una nongwa
Saida ana kipaji, hawa kina Zuchu ni promo tuLakin ukisikiliza nyimbo zake na ukiwa unelewa lugha zina message Sana...
Mfano wimbo wake wa Kaisiki...unaongelea kuhusu wasichana wanaotoa mimba..na madhara yake ya kukosa mtoto..
Wimbo wake wa kereme unaongelea mke mvivu hasiyejishughulusha...
Wimbo wake wa Jeni unaongelea wasichana wanaoacha wapenzi wao na kuolewa na watu wengine...
Wimbo wake wa mukaile kilinjwi..anashauri wanaume waoe wanawake wanaowapenda vinginevyo ndoa hazitadumu...
Nk...
So nyimbo zote za Saida zina message Kali Sana...sijui Nani alimtungia mashairi aisee bila kusahau beat...na imagine ni miaka ya 2000 huko
Uko sahihi lakini hata saida mwenyewe kiswahili alikuwa anakijua kweli usikute hakujua anachoimbaNi Khalid na flomena aliiweka sawa ilivyo hojiwa pale mawingu,nikwambwa flomena ilikataa kukaa kwenye hiyo bars ndio ikawa filimoni.
Sio kama leo ni mitusi tuMiaka hiyo jamani,watu waliimba sana