...Chambua kama karanga mama, chambua kama karangaaaaa....
... Halidi na Filimoni walipendana, mapenzi yao yakadumu....
...wenye wivu wajinyinge mama, wenyewe wivu wajinyongeeeee...
Wenye wivu wajinyonge sana, wenye wivu wajinyongeeee....
My Take
Naupenda snaa mziki wa Saida, kwangu mimi ndio mwanamziki wa kike mwenye sauti inayonivutia zaidi.
Shida yangu ni kujua hasa ujumbe wake kuhusu Halidi na File. Alitaka kutuambia nini dada Saida. Walipendania nini hawa ndugu wawili tena wa kiume, kiasi cha kuwataka wenye wivu wajinyonge?