Juu hapo niliorodhesha ma mc/rappers wa bongo ambao watamkalisha asubuhi tuJamaa kapotea njia aise ku - trend, tayari anaona kaweza ,
Chindo man - hauwez battle daaa kamchinja hatari .
Songa - ndani ya saa kama 6, kampiga na distrack 2 ( kali sio Jones, ikafata usimdiss kal)
Tamaduni wanamsitil tu jamaa, hapo P the mc , dizasta, nikki mbishi wametulia kama hapo
Levo za Jones ni kina young ndo sawa yake Lunya tu manamyesha uharo
Daaah😀 wakaziKhaligraph Jones tunampa Wakazi tu size yake.
Chindo kamfanya kitu mbaya Kenya nzima watamlaum Jones waoJuu hapo niliorodhesha ma mc/rappers wa bongo ambao watamkalisha asubuhi tu
1. One incredible
2. Wakazi
3. Dizasta vinna
4. Mawenge
Khali ni mwenyepesi Sana kwa rappers wa bongo
Jones mwepesi SanaChindo kamfanya kitu mbaya Kenya nzima watamlaum Jones wao
Bado ana-sound ki-wack Hana misingi hana punchilinesHuyu hapa Jones kajibu
Tuingie booth my dada, madharau yamezidi[emoji23]Kalighlaf..!? kuna msanii 'ako' na hili jina..?
😂😂Tuingie booth my dada, madharau yamezidi[emoji23]
Hii nahisi katoa kitambo , ndo kaja ku dias maana hakuna alipo m- battle yeyoyot aliye mchana , kama chindo, na Kali , hata Rosa ReeBado ana-sound ki-wack Hana misingi hana punchilines
Anatafuta trend tu
Nimeisikiliza Dis track ya songa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Hii nahisi katoa kitambo , ndo kaja ku dias maana hakuna alipo m- battle yeyoyot aliye mchana , kama chindo, na Kali , hata Rosa Ree
Songa kaahidi ataingia chimbo kama msanii yoyote atadisiwa na Jones .
Kazi ipo tutegemee maneno kuntu
Aisee we jamaa hakika unafuatilia hii sanaa mkuu. Analysis short and clear kabisa.Shida ni kwamba Rappers wa TZ wa miaka 1995-2006 wengi walikuwa way ahead of their time. Watu kama kina Steve Kafire, J-Moe, Solo Thang, Fid Q walikuwa na nyimbo ambazo ulikuwa ukizisikiliza unaweza kubaki mdomo wazi tu. Kilichoharibu muziki wa Rap Tanzania ni kitendo cha kubadilisha muziki wa Tanzania usiwe Label Based, bali Media Based ili kupiga pesa, michezo ambayo iliasisiwa na Marehemu Ruge Mutahaba.
Media ilikuwa inaangalia impigie nani chapuo ili avume na wapige hela. Tofauti na Label ambako walikuwa wanakucheki na kukufunda mtu kabla ya kutoa kazi. Kiuhalisia hili la Media Base Rappers ndiyo limechangia sehemu kubwa kwa wasanii wengi wa siku hizi kutokuvuma. Redio kubwa ilikuwa ni Clouds, na isipokupa time basi imekula kwako. Walau kipindi Kiss-FM miaka ya 2005, 2006, 2007 ilijitahidi kupiga wasanii wapya wengi. Mimi niliwafahamu Mapacha kupitia African Beats ya Kiss-FM.
Hivyo upande mmoja anaposema Kaligraph Jones kwamba HipHop in Tanzania is dead yuko sahihi, kwasababu Rappers wetu wa kizazi hiki ambao ni wakali kama Mex Cortez, One The Incredible, Nikki Mbishi, P Mawenge bado wako kwenye Underground Zone hawajatoboa Mainstream kiasi cha kuwafanya hata wapate wafuasi wengi hapa TZ. Talent Wise, Kaligraph anajiweza mno, I give him that, ila kushindana na watu kama Nikki Mbishi, One na Mex hawezi, lyrically and poetically.
[emoji23] sema sasa hv vijana wengi wamehamia sana kwenye amapiano, wametoka kwenye ngumu nyeusi[emoji23][emoji23]
Hizi ni dharau Bro, Ninasubiri ngumi ya pua yenye uzito wa kushato..!!