Kheri James: Nimeomba radhi mimi binafsi na si Jumuiya

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Wasiwe wanatumia majukwaa ya chama kuwasilisha Mambo binafsi huko ni kutumia vibaya fedha za chama.

Hery usingetumia jukwaa la chama ungelienda moja kwa moja huko twitta kusema uliyoyasema ambayo ni maoni yako binafsi.

Vijana wa CCM jifunzeni kuwa watulivu wenye subra, na si kila mara mjitokeze kujibu jibu ambavyo viko juu ya uwezo wenu.

Vinginevyo mna ajenda ya kuharibu image ya Chama.
 
Hata mimi nilielewa hivyo!

Hakuna kikao cha UVCCM kiliketi na kumtuma aombe radhi!
 
Wanakanyagana huko.... Tunamsubiri @Kigogo2014 aseme. Itaundwa tume ya kimahakama kuchunguza tuhuma zote za mauaji.. Uji wa moto,bakuli moto
 

Umoja wa kitaifa huo kwiooooo??? Ulivyosema kwamba mtamuua lissu kwa sumu ndio umoja wa kitaifa? kwanini sasa baada ya jiwe kuondoka? Tulia tulia mtemeshwe viazi vya moto,mbuyu mliokuwa mnautegemea umedondoka.
 
Hata mimi nilielewa hivyo!

Hakuna kikao cha UVCCM kiliketi na kumtuma aombe radhi!
Kazi ndiyo imeanza bwashee! 😇Mtalaumiana na kupoteana sana kuanzia sasa! Aliyewadhibiti, ndiyo hivyo tena! ameshatangulia mbele za haki.

Mtazitaja dhambi zenu zote mlizo watendea Watanzania ndani ya hii miaka mitano ya mateso na uonevu mwingi.
 
Hata akiomba msamaha ni kazi bure tu tayari watu washaumia sana kwa kauli zake akubalo aumie tu nae sasa hakuna namna
 
Kama kuna waliopata madhara makubwa kama vile kufilisika, ulema au kifo msamaha wa maneno hautoshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…