Kheri James: Nimeomba radhi mimi binafsi na si Jumuiya

Kheri James: Nimeomba radhi mimi binafsi na si Jumuiya


Umoja wa kitaifa huo kwiooooo??? Ulivyosema kwamba mtamuua lissu kwa sumu ndio umoja wa kitaifa? kwanini sasa baada ya jiwe kuondoka? Tulia tulia mtemeshwe viazi vya moto,mbuyu mliokuwa mnautegemea umedondoka.
 
Kaandika hiv kupitia Twitter:

Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ni Taasisi, napenda kuweka kumbukumbu sawa kuwa nimeomba radhi mimi binafsi na isihusishwe na Jumuiya, Chama au Taasisi nyingine yoyote. Nitaendelea kuhimiza umoja wa kitaifa siku zote.
Kwamba Sisi hatujui Kiswahili ?!. Au hatuna masikio ya kusikiliza clip yake ?!.

Mpuuzi huyo dogo

Odhis *
 
Umeomba samahani kwani umekosa Nini? Na kwanini unaomba radhi Leo na isiwe mwezi uliopita? Kwani hayo makosa uliyatenda lini?
Ulitumwa? lakini huyu kijana anatungo tata tena anapenda kukaa nyuma ya mikamera
 
Back
Top Bottom