Kheri James: Nimeomba radhi mimi binafsi na si Jumuiya

Kheri James: Nimeomba radhi mimi binafsi na si Jumuiya

Ama kweli Mwanakondoo ameshinda tumfuate! Leo hii Tz inayashuhudia haya, kwa mtu mwenye kiburi kama Heri..... Vijana jifunzeni siasa, ninyi mna safari ndefu kimaisha kuliko wazee akina kabudi na Kangi lugola. Tabu aliyoipata Nape wakati anadhalilishwa na JPM ilipaswa iwakumbushe kitu.
 
Nani muitishaji wa vikao?
Anyway nauliza kwa kuwa kuna clip zinasambaa zikionesha akitumia jukwaa la Chama (dress code & like)

Au hii ni hatari kuweka karibu na watoto????

We achana na hilo jalala, linahaha tu sa hiz
 
Nani muitishaji wa vikao?
Anyway nauliza kwa kuwa kuna clip zinasambaa zikionesha akitumia jukwaa la Chama (dress code & like)

Au hii ni hatari kuweka karibu na watoto????

Boya kabisa na jinga huyu dogo. Dunia ya Tz sasa itamuelemea.
 
Mama yetu rais wetupendwa usie tufokea tunaomba umuondoe mapema huyo mtoto wa uvccm ilikusudi utende kazi zako vizuri
 
Kaandika hivi kupitia Twitter:

Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ni Taasisi, napenda kuweka kumbukumbu sawa kuwa nimeomba radhi mimi binafsi na isihusishwe na Jumuiya, Chama au Taasisi nyingine yoyote. Nitaendelea kuhimiza umoja wa kitaifa siku zote.

Pia soma > UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan
Kabla ya yote mwambieni ulimi wake usiwe na kigugumizi. Aeleze bayana mswamaha anataka wa nini? alikosa nini, alikosa lini, na kwa nini autake mswamaha leo?
 
Back
Top Bottom