Kheri James: Nimeomba radhi mimi binafsi na si Jumuiya

Kheri James: Nimeomba radhi mimi binafsi na si Jumuiya

These may make strong circumstantial evidences that even the last attempt was masterminded by them, including the speaker of that kind of hatred speech. He shall be called upon to prove otherwise!
Nakubaliana nawe Mkuu Mwanasheria,ni kweli usiopingika kwa maneno yake hayo ni wazi tukio lile la mwanzo la kutumia risasi kama anajutia halijazaa matunda ndio maana anasisitiza safari hii sio risasi tena ni sindano tu pyaaaaaaaaaaaa.
 
Na anadai kuwa nguvu kubwa ilitumika. Ni jambo kubwa na hatari sana alilolitamka hapo
 
Hata mimi nilielewa hivyo!

Hakuna kikao cha UVCCM kiliketi na kumtuma aombe radhi!

Bado ana hangover ya utawala wa yule mjomba wake muovu, unaweza kuongea chochote na chama wasikuhoji. Hakuna cha kukaa kikao maana hii ccm mpya ilikuwa haihitaji vikao kufanya jambo lolote, jema ama ovu ili mradi ww ni msukuma.
 
Umeomba samahani kwani umekosa Nini? Na kwanini unaomba radhi Leo na isiwe mwezi uliopita? Kwani hayo makosa uliyatenda lini?
Kasema hayo makosa aliyatenda kipindi Cha utawala uliopita, alikuwa anaropoka bila kujali wananchi hata Kama walikuwa wanachukizwa na maneno Yake hivyo ikapelekea vijana kuichukia UVCCM!
 
Kaandika hivi kupitia Twitter:

Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ni Taasisi, napenda kuweka kumbukumbu sawa kuwa nimeomba radhi mimi binafsi na isihusishwe na Jumuiya, Chama au Taasisi nyingine yoyote. Nitaendelea kuhimiza umoja wa kitaifa siku zote.

Pia soma > UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan
Screenshot_20210329-225503.png

Mfikishieni huyo jamaa hiyo picha!
 
Kaandika hivi kupitia Twitter:

Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ni Taasisi, napenda kuweka kumbukumbu sawa kuwa nimeomba radhi mimi binafsi na isihusishwe na Jumuiya, Chama au Taasisi nyingine yoyote. Nitaendelea kuhimiza umoja wa kitaifa siku zote.

Pia soma > UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan
We mjinga acha kutufanya watz ni wajinga hasa kwa kipindi hichi cha mama wa ukweli na haki mlijifanya miungu kwa kumtegemea mwadamu bado haujajifunza utuona watz ni mamburura?
 
Nani muitishaji wa vikao?
Anyway nauliza kwa kuwa kuna clip zinasambaa zikionesha akitumia jukwaa la Chama (dress code & like)

Au hii ni hatari kuweka karibu na watoto????

Waliotekwa na kupotea na kuuawa huyu kheri wanaweza akiwa anajua vr zaidi
 
Back
Top Bottom