Kheri James: Nimeomba radhi mimi binafsi na si Jumuiya

Umoja wa kitaifa huo kwiooooo??? Ulivyosema kwamba mtamuua lissu kwa sumu ndio umoja wa kitaifa? kwanini sasa baada ya jiwe kuondoka? Tulia tulia mtemeshwe viazi vya moto,mbuyu mliokuwa mnautegemea umedondoka.
 
Huyo jamaa,muda wake ukiisha kikatiba hatarudi tena madarakani
 
Kwamba Sisi hatujui Kiswahili ?!. Au hatuna masikio ya kusikiliza clip yake ?!.

Mpuuzi huyo dogo

Odhis *
 
Umeomba samahani kwani umekosa Nini? Na kwanini unaomba radhi Leo na isiwe mwezi uliopita? Kwani hayo makosa uliyatenda lini?
Ulitumwa? lakini huyu kijana anatungo tata tena anapenda kukaa nyuma ya mikamera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…