King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Nakubaliana nawe Mkuu Mwanasheria,ni kweli usiopingika kwa maneno yake hayo ni wazi tukio lile la mwanzo la kutumia risasi kama anajutia halijazaa matunda ndio maana anasisitiza safari hii sio risasi tena ni sindano tu pyaaaaaaaaaaaa.These may make strong circumstantial evidences that even the last attempt was masterminded by them, including the speaker of that kind of hatred speech. He shall be called upon to prove otherwise!
Na anadai kuwa nguvu kubwa ilitumika. Ni jambo kubwa na hatari sana alilolitamka hapoNakubaliana nawe Mkuu Mwanasheria,ni kweli usiopingika kwa maneno yake hayo ni wazi tukio lile la mwanzo la kutumia risasi kama anajutia halijazaa matunda ndio maana anasisitiza safari hii sio risasi tena ni sindano tu pyaaaaaaaaaaaa.
Dogo kapagawaKaandika hiv kupitia Twitter:
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ni Taasisi, napenda kuweka kumbukumbu sawa kuwa nimeomba radhi mimi binafsi na isihusishwe na Jumuiya, Chama au Taasisi nyingine yoyote. Nitaendelea kuhimiza umoja wa kitaifa siku zote.
Hata mimi nilielewa hivyo!
Hakuna kikao cha UVCCM kiliketi na kumtuma aombe radhi!
Nitaendelea kuhimiza umoja wa kitaifa siku zote.
Unatumia vpn gani?Huyu MTU hata Mie namtafuta ukimpata niite . Tangu Mambo ya VPN yalivyoanza nanyanyasika.
End of bad era..
Kwahiyo wewe ndiyo KHERI James?au NI mkewe mpaka useme kwa niaba yake..Ile page ya twitter ni fake sio yake.
Kasema hayo makosa aliyatenda kipindi Cha utawala uliopita, alikuwa anaropoka bila kujali wananchi hata Kama walikuwa wanachukizwa na maneno Yake hivyo ikapelekea vijana kuichukia UVCCM!Umeomba samahani kwani umekosa Nini? Na kwanini unaomba radhi Leo na isiwe mwezi uliopita? Kwani hayo makosa uliyatenda lini?
Heeeeee kumbeee
Kwani wakati anatumia jukwaa la UVCCM kutoa maneno ya shobo Kuna kikao kulikuwa kinakaa na kumtuma ajimwambafai kisa mjomba rais?Hata mimi nilielewa hivyo!
Hakuna kikao cha UVCCM kiliketi na kumtuma aombe radhi!
Kaandika hivi kupitia Twitter:
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ni Taasisi, napenda kuweka kumbukumbu sawa kuwa nimeomba radhi mimi binafsi na isihusishwe na Jumuiya, Chama au Taasisi nyingine yoyote. Nitaendelea kuhimiza umoja wa kitaifa siku zote.
Pia soma > UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan
We mjinga acha kutufanya watz ni wajinga hasa kwa kipindi hichi cha mama wa ukweli na haki mlijifanya miungu kwa kumtegemea mwadamu bado haujajifunza utuona watz ni mamburura?Kaandika hivi kupitia Twitter:
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ni Taasisi, napenda kuweka kumbukumbu sawa kuwa nimeomba radhi mimi binafsi na isihusishwe na Jumuiya, Chama au Taasisi nyingine yoyote. Nitaendelea kuhimiza umoja wa kitaifa siku zote.
Pia soma > UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan
Waliotekwa na kupotea na kuuawa huyu kheri wanaweza akiwa anajua vr zaidiNani muitishaji wa vikao?
Anyway nauliza kwa kuwa kuna clip zinasambaa zikionesha akitumia jukwaa la Chama (dress code & like)
Au hii ni hatari kuweka karibu na watoto????
Pimbi asiye na haya huyu Kheri JamesKaandika hivi kupitia Twitter:
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ni Taasisi, napenda kuweka kumbukumbu sawa kuwa nimeomba radhi mimi binafsi na isihusishwe na Jumuiya, Chama au Taasisi nyingine yoyote. Nitaendelea kuhimiza umoja wa kitaifa siku zote.
Pia soma > UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan
Mitano iliyopita mjomba alitoa amri aletewe Kheri James kama ike amri ya nileteeni Gwajima.