Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli mkuu! Utakuwa huujui umaskini.Tajiri sehemu kubwa ya maisha yake anawaza kutafuta na kulinda alichonacho.
Masikini hana cha kulinda anawaza kutafuta chakula na kulala.
Ukiachana na nature masikini yu salama sana wakati tajiri usalama wake umejaa mashaka, ndio maana ulinzi ni wa kutosha.
𝐮𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐰𝐚𝐩𝐚𝐫𝐞 𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐜𝐡𝐚𝐠𝐚Maisha ya wenyeji wa pwani yaani hawanaga complications ukilinganisha na wageni wale wa kwenda kuhiji Christmas big up watani zanguu