Kiafya masikini wana muda wa kupumzisha akili kuliko matajiri!

Siyo kweli mkuu! Utakuwa huujui umaskini.

Umaskini ni mbaya mno.
 
Maisha ya wenyeji wa pwani yaani hawanaga complications ukilinganisha na wageni wale wa kwenda kuhiji Christmas big up watani zanguu
๐ฎ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐š๐ง๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐ฐ๐š๐ฉ๐š๐ซ๐ž ๐ง๐š ๐ฐ๐š๐œ๐ก๐š๐ ๐š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ