Kiama kwa Houthi, Yemen inaandaa wanajeshi 80,000 kuingia hayo maeneo ya Houthi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Hawa magaidi wa waislamu siku zao zinakaribia mwisho, huku Marekani wakipiga kwa angani, Yemen nayo inaandaa wanajeshi 80,000 kuingia kwenye mpambano wa nyumba kwa nyumba. Japo Yemen wenyewe pia ni waislamu ila kidogo ni nafuu maana ni serikali halali hivyo yenyewe itapunguza maugaidi.

==================================

Yemen's government is reportedly preparing to launch a massive assault to recapture Hodeidah Port in western Yemen from the Houthis, according to a Friday report in Emirati state media.

Yemen's internationally recognized government is preparing to mass nearly 80,000 troops for what would be the largest offensive of the civil war, according to statements by Dr. Abdulaziz Sager, chairman of the Gulf Research Center based in Saudi Arabia, on Friday.

"To my best knowledge, there is a preparation of almost 80,000 soldiers from the legitimate Yemeni government in different locations in order to take over [Hodeidah]," Dr. Sager said.
 
Huko nyuma walishindwa Nini? Tena walikuwa wakisaidiwa na ndege za saudia
Vita ni morale na sio kubwa
Kijana mmoja wa kikurya mwenye panga anaweza akawakimbiza wazaramo watano wenye mapanga pia
Morale ya jeshi la kiserikali huwezi fananisha na morale za kiimani, kupigana na mtu asieogopa kufa sio swala dogo
 
Tuanzie hapa iyo Serikali unayo itambua ww Tutajie Rais wake jina?

Na kachagiliwa lini kwenye Uchaguzi upi ???

Ukishinda kujibu ayo tutajua Serikali halal ipo upande wa Houthi mana ili uwe na Serikali inakupasa kumilki Mji mkuu ambao wanaoumiliki ni awa Houthi ???

Kisha tufundishe kwann unawaita Houthi ni Magaid !!

umetumia kigezo gani kuamini Houthi ni Magaid ili nasisi wengine wa uku Kilifi Mnalani malindi tuamini kuwa kumbe houthi ni Magaid karibu ??
 
Huko nyuma walishindwa Nini? Tena walikuwa wakisaidiwa na ndege za saudia
Vita ni morale na sio kubwa
Kijana mmoja wa kikurya mwenye panga anaweza akawakimbiza wazaramo watano wenye mapanga pia
Morale ya jeshi la kiserikali huwezi fananisha na morale za kiimani, kupigana na mtu asieogopa kufa sio swala dogo

Huyo asiyeogopa kufa ndivyo itabidi awahishwe huko huko kwa mabikira 72 anakotaka kwenda, Putin alishasema hiki kitu kwa nyie watu.

CUG9ZrTWIAAVolk.jpg
 
Huko nyuma walishindwa Nini? Tena walikuwa wakisaidiwa na ndege za saudia
Vita ni morale na sio kubwa
Kijana mmoja wa kikurya mwenye panga anaweza akawakimbiza wazaramo watano wenye mapanga pia
Morale ya jeshi la kiserikali huwezi fananisha na morale za kiimani, kupigana na mtu asieogopa kufa sio swala dogo
Imani na ugaidi kama vinarandana??!!
 
Obviously kwa kuwa kimoja ni mzazi wa kingine lazima iwe hivyo. Wakwavi wana msemo wa kale usemao serpent's offspring is also a serpent.
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 mwamba mudi ni muasisi wa ugaidi
 
Tatizo lipo kwa wajinga wa huku Tanzania, wanaoshabikia Hezbollah, Houthis na Hamas, kwa sababu ya kukosa uelewa na maarifa.

Haya makundi ya kigaidi ya Iran, yanachukiwa na Serikali zote za nchi za kiarabu kwa sababu ni tishio kwa mamlaka halali za mataifa hayo.

Hezbollah waliinyong'onyeshwa, Serikali ya Lebanon, imefanikiwa kurudisha mamlaka kamili.

Israel ilifanikiwa kuwaua makamanda, viongozi na wapiganaji wa Hezbollah kwa msaada wa kiintelijensia toka serikali ya Yemen. Sasa hivi serikali ya Lebanon imekuwa na mamlaka kamili nchini Lebanon. Hivyo, kipigo kwa Hezbollah imekuwa ni msaada mkubwa kwa Lebanon.
Halikadhalika kwa Yemen. Marekani inavyozidi kuwaangamiza Houthis, angalao Serikali ya Yemen, nayo itapata nguvu ya kuyadhibiti magaidi hayo.
 
Hao Houth akili kisoda hawakujifunza kwa sadam au Libya.
Ukimvimbia USA anakuundia makundi ya kigaidi anawatrain wanakuondoa.
 
Back
Top Bottom