Kiama kwa Houthi, Yemen inaandaa wanajeshi 80,000 kuingia hayo maeneo ya Houthi

Tuanzie hapa iyo Serikali unayo itambua ww Tutajie Rais wake jina?
His Excellency Rashad Muhammad al-Alimi
Assumed office 7 April 2022 Disputed by Mahdi al-Mashat (Supreme Political Council)
Prime MinisterMaeen Abdulmalik Saeed Ahmad Awad bin Mubarak
Vice PresidentAidarus al-Zoubaidi Tareq Saleh Sultan Ali al-Arada Abdullah al-Alimi Bawazeer
Na kachagiliwa lini kwenye Uchaguzi upi ???

Ukishinda kujibu ayo tutajua Serikali halal ipo upande wa Houthi mana ili uwe na Serikali inakupasa kumilki Mji mkuu ambao wanaoumiliki ni awa Houthi ???

Kisha tufundishe kwann unawaita Houthi ni Magaid !!

umetumia kigezo gani kuamini Houthi ni Magaid ili nasisi wengine wa uku Kilifi Mnalani malindi tuamini kuwa kumbe houthi ni Magaid karibu ??
 
Huyu Mbona ana support silaha kwa "magaidi" ya Iran?

Si ndiye amekua tegemeo la dini yenu dhidi ya "death to America", tangu achakazwe pale Ukraine mumebaki hoi....
 
Huko nyuma walishindwa Nini? Tena walikuwa wakisaidiwa na ndege za saudia
Vita ni morale na sio kubwa
Kijana mmoja wa kikurya mwenye panga anaweza akawakimbiza wazaramo watano wenye mapanga pia
Morale ya jeshi la kiserikali huwezi fananisha na morale za kiimani, kupigana na mtu asieogopa kufa sio swala dogo
Wale wapasuaji matofali wenu na morali yote ile waliyokuwa nayo hapo Congo wamehenyeshwa na kakundi kadogo tu cha waasi.
 
Kivipi anayepinga ugaidi atoe silaha kwa magaidi?

Huyo yuko kibiashara, hivyo yeye huwa haoni tabu hata kufanya biashara na shetani mwenyewe....na ndio maana hakuona tabu kuwauzia silaha muendeleze ugaidi wa dini yenu, japo pia hiyo dini yenu mna maugaidi milengo tofauti kuna wakati huwa mnalipuana wenyewe kama mazombi yaliyochanganyikiwa, hivyo Mrusi anapata sana biashara hapo.
 
Iran inasemaje?
Hakuna kitu hatakifanya, Hawa Houthi unawaona leo wamewahi kusaidiwa na Israel kipindi hicho Yemen ina ufalme.

Mtu akikwambia Ukabila ni mbaya angalia nchi zote za Waarabu zenye vita. Imagine wameshindwa kukubaliana kwa amani
 
Tuanzie hapa iyo Serikali unayo itambua ww Tutajie Rais wake jina?

Na kachagiliwa lini kwenye Uchaguzi upi ???

Ukishinda kujibu ayo tutajua Serikali halal ipo upande wa Houthi mana ili uwe na Serikali inakupasa kumilki Mji mkuu ambao wanaoumiliki ni awa Houthi ???

Kisha tufundishe kwann unawaita Houthi ni Magaid !!

umetumia kigezo gani kuamini Houthi ni Magaid ili nasisi wengine wa uku Kilifi Mnalani malindi tuamini kuwa kumbe houthi ni Magaid karibu ??
Huyu ndivyo alivyo usimuwekee maanani sana.
 
Hakuna kitu hatakifanya, Hawa Houthi unawaona leo wamewahi kusaidiwa na Israel kipindi hicho Yemen ina ufalme.

Mtu akikwambia Ukabila ni mbaya angalia nchi zote za Waarabu zenye vita. Imagine wameshindwa kukubaliana kwa amani
Haswaa
 
Tuanzie hapa iyo Serikali unayo itambua ww Tutajie Rais wake jina?

Na kachagiliwa lini kwenye Uchaguzi upi ???

Ukishinda kujibu ayo tutajua Serikali halal ipo upande wa Houthi mana ili uwe na Serikali inakupasa kumilki Mji mkuu ambao wanaoumiliki ni awa Houthi ???

Kisha tufundishe kwann unawaita Houthi ni Magaid !!

umetumia kigezo gani kuamini Houthi ni Magaid ili nasisi wengine wa uku Kilifi Mnalani malindi tuamini kuwa kumbe houthi ni Magaid karibu ??

Ukitaka tuanze na chimbuko la ugaidi au tafsiri ya ugaidi labda tuanzie kule Mohammad aliyeanzisha uislamu alivyochinja Wayahudi wa Banu Qurayza na kuuza watoto wao kuwa watumwa, sawa tuseme alikua na sababu zake kwenye kuchinja Wayahudi, ila kuuza watoto wao utumwani wakateseke huko huo ulikua ugaidi uliokubuhu, na ndio maana wafuasi wake leo hii wanayafanya yote haya ikiwemo kuteka watoto wa Wayahudi na kuua wazazi wao, mnajirudia rudia tu.
 
Back
Top Bottom