Tuanzie hapa iyo Serikali unayo itambua ww Tutajie Rais wake jina?Hawa magaidi wa waislamu siku zao zinakaribia mwisho, huku Marekani wakipiga kwa angani, Yemen nayo inaandaa wanajeshi 80,000 kuingia kwenye mpambano wa nyumba kwa nyumba. Japo Yemen wenyewe pia ni waislamu ila kidogo ni nafuu maana ni serikali halali hivyo yenyewe itapunguza maugaidi.
==================================
Yemen's government is reportedly preparing to launch a massive assault to recapture Hodeidah Port in western Yemen from the Houthis, according to a Friday report in Emirati state media.
Yemen's internationally recognized government is preparing to mass nearly 80,000 troops for what would be the largest offensive of the civil war, according to statements by Dr. Abdulaziz Sager, chairman of the Gulf Research Center based in Saudi Arabia, on Friday.
"To my best knowledge, there is a preparation of almost 80,000 soldiers from the legitimate Yemeni government in different locations in order to take over [Hodeidah]," Dr. Sager said.
Yemen preparing mass assault on Houthi-controlled Hodeidah | The Jerusalem Post
"We might be at the stage of counting down the end of the Houthis," a leading expert said as the Yemeni government prepares a massive 80,000 soldier assault on Hodeidah.www.jpost.com
Huko nyuma walishindwa Nini? Tena walikuwa wakisaidiwa na ndege za saudia
Vita ni morale na sio kubwa
Kijana mmoja wa kikurya mwenye panga anaweza akawakimbiza wazaramo watano wenye mapanga pia
Morale ya jeshi la kiserikali huwezi fananisha na morale za kiimani, kupigana na mtu asieogopa kufa sio swala dogo
Imani na ugaidi kama vinarandana??!!Huko nyuma walishindwa Nini? Tena walikuwa wakisaidiwa na ndege za saudia
Vita ni morale na sio kubwa
Kijana mmoja wa kikurya mwenye panga anaweza akawakimbiza wazaramo watano wenye mapanga pia
Morale ya jeshi la kiserikali huwezi fananisha na morale za kiimani, kupigana na mtu asieogopa kufa sio swala dogo
Obviously kwa kuwa kimoja ni mzazi wa kingine lazima iwe hivyo. Wakwavi wana msemo wa kale usemao serpent's offspring is also a serpent.Imani na ugaidi kama vinarandana??!!
Kafyata Mkia,chezea Trump weweIran inasemaje?
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 mwamba mudi ni muasisi wa ugaidiObviously kwa kuwa kimoja ni mzazi wa kingine lazima iwe hivyo. Wakwavi wana msemo wa kale usemao serpent's offspring is also a serpent.
Vibaya hivoooo
Huyu Mbona ana support silaha kwa "magaidi" ya Iran?Huyo asiyeogopa kufa ndivyo itabidi awahishwe huko huko kwa mabikira 72 anakotaka kwenda, Putin alishasema hiki kitu kwa nyie watu.