His Excellency Rashad Muhammad al-AlimiTuanzie hapa iyo Serikali unayo itambua ww Tutajie Rais wake jina?
| Assumed office 7 April 2022 Disputed by Mahdi al-Mashat (Supreme Political Council) | |
| Prime Minister | Maeen Abdulmalik Saeed Ahmad Awad bin Mubarak |
| Vice President | Aidarus al-Zoubaidi Tareq Saleh Sultan Ali al-Arada Abdullah al-Alimi Bawazeer |
Na kachagiliwa lini kwenye Uchaguzi upi ???
Ukishinda kujibu ayo tutajua Serikali halal ipo upande wa Houthi mana ili uwe na Serikali inakupasa kumilki Mji mkuu ambao wanaoumiliki ni awa Houthi ???
Kisha tufundishe kwann unawaita Houthi ni Magaid !!
umetumia kigezo gani kuamini Houthi ni Magaid ili nasisi wengine wa uku Kilifi Mnalani malindi tuamini kuwa kumbe houthi ni Magaid karibu ??
Wale wapasuaji matofali wenu na morali yote ile waliyokuwa nayo hapo Congo wamehenyeshwa na kakundi kadogo tu cha waasi.Huko nyuma walishindwa Nini? Tena walikuwa wakisaidiwa na ndege za saudia
Vita ni morale na sio kubwa
Kijana mmoja wa kikurya mwenye panga anaweza akawakimbiza wazaramo watano wenye mapanga pia
Morale ya jeshi la kiserikali huwezi fananisha na morale za kiimani, kupigana na mtu asieogopa kufa sio swala dogo
Kivipi anayepinga ugaidi atoe silaha kwa magaidi?Si ndiye amekua tegemeo la dini yenu dhidi ya "death to America", tangu achakazwe pale Ukraine mumebaki hoi....
Kivipi anayepinga ugaidi atoe silaha kwa magaidi?
Hakuna kitu hatakifanya, Hawa Houthi unawaona leo wamewahi kusaidiwa na Israel kipindi hicho Yemen ina ufalme.Iran inasemaje?
Huyu ndivyo alivyo usimuwekee maanani sana.Tuanzie hapa iyo Serikali unayo itambua ww Tutajie Rais wake jina?
Na kachagiliwa lini kwenye Uchaguzi upi ???
Ukishinda kujibu ayo tutajua Serikali halal ipo upande wa Houthi mana ili uwe na Serikali inakupasa kumilki Mji mkuu ambao wanaoumiliki ni awa Houthi ???
Kisha tufundishe kwann unawaita Houthi ni Magaid !!
umetumia kigezo gani kuamini Houthi ni Magaid ili nasisi wengine wa uku Kilifi Mnalani malindi tuamini kuwa kumbe houthi ni Magaid karibu ??
HaswaaHakuna kitu hatakifanya, Hawa Houthi unawaona leo wamewahi kusaidiwa na Israel kipindi hicho Yemen ina ufalme.
Mtu akikwambia Ukabila ni mbaya angalia nchi zote za Waarabu zenye vita. Imagine wameshindwa kukubaliana kwa amani
Tuanzie hapa iyo Serikali unayo itambua ww Tutajie Rais wake jina?