Kiapo cha familia ya Rais Samia kitakavyokuwa hapo baadaye ikulu ya Chamwino Dodoma

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
608
Taswira ya kiapo cha baadhi ya mawaziri wa familia moja kitakavyokuwa jijini Dodoma.
1763449634298.png
 
Mkwe fanya juu chini mkweo nisidhalilike uko wizara ya afya si unajuwa yaliotokea e nawe wanu ole wako umvuruge mumeo
 
Magufuli ndiyo muasisi wa haya mauzauza. Alichokifanya Chura Kiziwi ni kuanzia tu pale alipoishia mtangulizi wake. Yaani serikali na bunge limejaa familia za vigogo (wake zao, waume zao, vimada wao, watoto wao, wakwe zao, watoto wa michepuko yao, nk)!!!
Hakika huu ni upumbavu usio vumilika hata kidogo!
 
Magu hayupo sasa tupambane na huyu chura kiziwi!
 
Back
Top Bottom