Magufuli ndiyo muasisi wa haya mauzauza. Alichokifanya ChuraKiziwi ni kuanzia tu pale alipoishia mtangulizi wake. Yaani serikali na bunge limejaa familia za vigogo (wake zao, waume zao, vimada wao, watoto wao, wakwe zao, watoto wa michepuko yao, nk)!!!
Hakika huu ni upumbavu usio vumilika hata kidogo!