Kiarabu ndio lugha ya asili ya sayansi, tiba, biashara na elimu kwa ujumla

Ha

Kihistoria hakuna kitu Mwarabu amewahi kukifanya hapa duniani zaidi ya Uislam. Hakuna; by the way, ujio wa dini hi ndio umeharibu kabisa amani ya dunia, labda hili ndio tunaweza kujisifia nalo. Wameua Mashariki ya kati, wameua Ulaya mashariki, wameua na kuteka na kufanya makazi Africa ya kaskazini, wanaua hadi sasa hvi Somalia, Sudan, Nigeria and everywhere; hiki ndio kitu remarkable kutoka Arab league; mambo ya sayansi na lugha yao ni UONGO tu.
scientists will disagree, kila mwanasayansi ana mchango wake
 
Ha

Kihistoria hakuna kitu Mwarabu amewahi kukifanya hapa duniani zaidi ya Uislam. Hakuna; by the way, ujio wa dini hi ndio umeharibu kabisa amani ya dunia, labda hili ndio tunaweza kujisifia nalo. Wameua Mashariki ya kati, wameua Ulaya mashariki, wameua na kuteka na kufanya makazi Africa ya kaskazini, wanaua hadi sasa hvi Somalia, Sudan, Nigeria and everywhere; hiki ndio kitu remarkable kutoka Arab league; mambo ya sayansi na lugha yao ni UONGO tu.
Usiwe mvivu wa kusoma.umeambiwa waarabu waislamu ndio walioziona sayari karibu zote na kuzichora.
Hata telescope aliyotumia Galileo ni kifaa cha waislamu
Madawa tunayotumia sasa ni muendelezo tu wa madawa aliyoyafundisha Jabir bin Nahyan na vifaa vya upasuaji unavyoviona kwenye vyumba vya operesheni ni vya Abul Qassim
Hakuna kitu cha aibu kilichofanywa na wakristo kama kuchoma vitabu kwa mamilioni vilivyoandikwa kwa shida na waislamu wa kiarabu ambavyo vilikuwa na elimu kutoka pande zote za dunia
 
Webabu acha kutukuza uarabu, wape credit zao wasomi wa kale. Unasema hivi "MAANDISHI " hayakuwa katika mfumo vitabu vya kisasa, yalipapikana katika tawala za "KIRUMI,KIGIRIKI na KIHINDI" Kwa maana waarabu walitafsiri maandishi hayo ya wagiriki wa kale. Swali sasa huyo muarabu bila ivyo vitabu angetafsiri makalio? Hivi ushajiuliza kuwa kipindi hicho sehemu zingine dunian kama Afrika? leo kuna lugha nyingi duniani tu biblia zimetafsiriwa katika mamia ya lugha. kuna watanzania leo hii wanajua kichina, kijapan nk. kwahiyo nikitaka kujua kichina inanirazimu kwanza kupata maandishi ya kichina yatafsiriwe kiarabu then ndio kiswahili?
Umepigaje hapo mwisho [emoji23]
 
Huu ni ukweli ambao wengi hawaujui kwani umejificha ya kuwa lugha ya kiarabu ndio lugha iliyotumika kuufikishia ulimwengu elimu karibu zote.

Lugha ya kiarabu ambayo ndiyo lugha iliyoteremshiwa Qur'an imetoa fursa za wazi kwa walimwengu dunia nzima na kuwapa ujanja wa kuishi na kuifaidi dunia.

Kwa ufupi kabisa ufunguzi wa ulimwengu kielimu ulianzia Baghdad wakati wa utawala wa bani Umayya na baadae utawala wa Abbasiya chini ya utawala wa Haroun Alrashid.

Tawala hizo ndizo zilijenga maktaba kubwa sana iliyoitwa baitul Hikma ambayo ilidumu kwa karne nyingi kabla kubomolewa katika vita kutoka watawala wa kikristo waliopitia bara hindi.

Chanzo cha maktaba hiyo ilikuwa ni wakuu wa koo za kiarabu waliopenda kuhifadhi Qur'an na hadithi za mtume Muhammad saw pamoja na mashairi mazuri ya koo zao.

Mara maktaba hiyo ikaanza kuweka vitabu vyengine vilivyopatikana katika tawala ambako majeshi ya waislamu yalikuwa yakienda wakati wa vita na kutoka misafara ya kawaida ya kibiashara.

Maandishi hayo hayakuwa katika mfumo wa vitabu vya kisasa yalipatikana kutoka tawala za kirumi,kigiriki na kihindi.Maandishi hayo yailetwa hapo na kutafsiriwa kuingizwa lugha ya kiarabu.

Maktaba hiyo kila miaka ilivyoongezeka ikapanuliwa na kuongezwa vitengo vya matawi mbali mbali ya kielimu ukiongezea na kitengo cha uchapishaji.

Hatimae teknolojia ya uchapishaji na uandishi kwa njia nyepesi uliochukuliwa kutoka mbali kama vile China ukaingizwa kwenye maktaba hiyo na kuongeza kasi za uandishi na tafsiri.

Vitengo vilivyonawiri zaidi katika kituo hicho ni vile vya elimu ya tiba,elimu ya anga na hesabati chini ya mwanahesabati Alkhwarizm ambaye ndiye mwandishi wa kitabu cha aljebra alichokiandika katika kutafsrii mahesabu yaliyomo ndani ya Qur'an juu ya mirathi.

Umaarufu wa maktaba hiyo ambao uligeuka kuwa kama chuo cha elimu uliwavuta watu wengi sana kutoka maeneo ya jirani ikiwemo Iran na majimbo ya Urusi kuja kujisomea au kwa kazi maalumu. Kulikuwa na wafanyakazi wa kila fani na kutoka maeneo mbali mbali.Walikuwepo waliokuwa na asili za kiyahudi na makabila mengineyo ya jirani.

Kituo hicho kilipobomolewa na kuchomwa moto,mto wa dijla ambao unajulikana sasa kama euphrates uligeuka rangi kuwa mweusi kutokana na wino wa vitabu hivyo.

Wakatokea baadhi ya wasomi na waliokuwa wafanyakazi wa kituo hicho wakachagua baadhi ya nakala walizoweza kuziokoa na kwenda nazo maeneo yao.Miongoni mwa hao ni Nasrudin Al tulsi wa Azerbajan ambaye alikwishajenga kituo chake cha anga huko kwao.Yeye alifanikiwa kuokoa vitabu zaidi ya 40,000 ambavyo alikuwa akivibeba kidogo kidogo kwa kutumia farasi na ngamia.

Pamoja na kupigwa vita,waislamu nao kwa fitna walikuwa na ugomvi baina yao wenyewe.Wako walionusurika vifo na kuamua kukimbilia maeneo ya mbali ambako tayari athari za tawala za kiislamu zilikwishatangulia.
Maeneo hayo ni kama vile kaskazini ya Afrika,Libya,Tunisia,Aljeria na Morocco mbali na maeneo ya ndani ya kama vile MalimChad na Niger.

Kwa upande wa Ulaya ya sasa waislamu walikwishatangulia Spain zamani. Mmoja ya waliofanikiwa kuhama na kuendeleza mfano wa tawala za Baghdad ni Abulrahmaan ambaye alikwenda kufanya makazi yake Cordoba chini ya himaya ya Ummawiyah. Miji mingi sana ndani ya Spain iliyojulikana wakati huo kama Andalus ilijengwa kwa nidhamu za tawala za kiislamu ambapo lazima kuwe na maktaba.Miji michache kati ya hiyo ni Granada,Sevile na Toledo.

Kwa mfano papa Sylvester (Gerbet) ni miongoni mwa wakristo wa mwanzo kusoma kwenye chuo kikuu cha kiislamu cha Granada na aliwahi kuhudhuria mafunzo chuo kikuu kikongwe zaidi duniani cha Alqarawiney ambacho kiko Fez nchini Morroco ambacho bado kinaendeshwa kwa mfumo ule ule maarufu kama madrasa.

Papa Syvester ambaye alivutiwa sana na utamaduni wa waislamu na elimu zao alipenda sana somo la hisabati na ndiye wa mwanzo kuingiza elimu hiyo nchini Italy wakati wa utawala wake ambapo mwenyewe alikuwa ni mwalimu pia pamoja na kazi za upapa (1095).

Maktaba ya Toledo ndiyo maarufu zaidi kwani hapo ndipo makabila mengi ya Ulaya kuanzia Ureno, Ufaransa,Italy na kote kwengineko walisoma na kutafsiri kazi hizo kutoka lugha ya kiarabu na kuingiza kwenye lugha zao za asili. Katika maktaba hiyo pia walikuwepo wafasiri walioweza kuingiza elimu hizo kwenye lugha ya kiyahudi ya kiebrania.

Ikumbukwe wakati ulimwengu wa kiisalamu ukiwa unairithisha dunia elimu kwa lugha zao kutoka kiarabu lugha maarufu za sasa kama vile kiiengereza na kifaransa hazikuwepo au ndio muda zilikuwa zinazaliwa na kuanza kujulikana.

Vitabu vilivyoandikwa kwa lugha ya kiarabu na kutumika kwenye vyuo vikuu vingi vya ulaya walivyojenga wenyewe ni vingi sana.Ngoja tutaje baadhi tu ya vitabu hivyo.

1. AL HAW. Ni kitabu cha tiba kiliandikwa na Abubakr Al Razi (864 -935)AD.Kinajumuisha vitabu vidogo (volumes) 23.Kilitafsiriwa kuingizwa lugha ya kilatin na myahudi aitwaye Faraj ben Salim kutoka visiwa vya Sicily mnamo mwakka 1276.

2. AL QANON FIY TTIB cha tiba kwa kiiengereza kinajulikana kama The canon of medicines. Kiliandikwa na Ibn Sina (980 -1037)AD.Kitabu hicho kimetumika kama rejea kubwa kwenye vyuo vikuu vya Ulaya mpaka mwaka 1650.Kilikuwa kikitoa ufafanuzi wa tiba na madawa kwa kutumia michoro kufahamisha vizuri.

3. KITAB AL TASIF cha Abul Qassim (936-1013)AD.Ni mkusanyiko wa vitabu vidogo 30.Abulcasis ndiye mvumbuzi wa vifaa zaidi ya 200 vinavyotumika mpaka leo kwenye vyumba vya upasuaji na vitabu vyake vimetumika kufundishia Ulaya kwa zaidi ya miaka 500.Aliishi na kufia mjini Cordoba ndani ya Spain.Nyumba yake mpaka leo ipo na imepewa thamani ya juu katika utalii wa majengo.

4.AL KITAB AL MUKHTASAR FIY HISAB ALJABR WAL MUQABALA.Kiliandikwa na Muhammad bin Mussa Alkharizm (780-850).Alikuwa ni mmoja ya wafanyakazi mashuhuri wa kitengo cha kutafsiri maandishi kwenye jengo la Baitul Hikma na baadae akawa ndiye mkurugenzi wa kituo hicho.

Pamoja na kazi nyingi alizozifanya alisoma na kutafsiri maandishi ya Euclid, mwanafalsa wa zamani wa kigiriki.Hata hivyo maandishi na hesabu zake za Aljebra ambazo ndizo zilizozalisha ujanja wote wa hesabu duniani haujaonekana kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na michoro ya maumbile ya Euclid.

Nakala halisi ya kitabu cha Alkhwarizm katika hati zake za kiarabu kinapatikana kwenye maktaba ya chuo kikuu cha Oxford nchini Uiengereza.
Kama Quran ilikuja kwa Lugha ya Kiarabu unamaanisha Peponi lugha inayotumika ni ya Kiarabu sio?
 
Jiulize mbona holy place misikiti ya Mecca na madina inalindwa kwa teknolojia ya wamarekani ?

Silaha za wazungu ndio zinatumika kuilinda saudi arabia
 
Tusiachane na lugha zetu kama ambavyo watu wa Ulaya hawakuachana na lugha zao wakati wakijifunza kutoka kiarabu.
Papa Sylvester alikijua vizuri kiarabu
Nenda Magomeni Mashahidi Wa Uganda Parish pale muulizie Fr Christian Likoko hicho kiarabu anatiririka kama maji pamoja na kukiandika.

Amehudumu Lebanon,Syria Italy na Marekani kabla ya kurudi hapa nyumbani so pope Sylvester kukijua kiarabu siyo habari kubwa wakati mwengine mapadre hutakiwa na ni lazima kujifunza lugha mahalia ili kurahisisha mawasiliano na waumini wenyeji wanaotakiwa kuwaongoza kiimani,wapo Mapadre Watanzania wapo hapo Nigeria wanaongea ki-lgbo,ki-Hausa Ki-Fulani etc utasema hawana akili.
 
Jiulize mbona holy place misikiti ya Mecca na madina inalindwa kwa teknolojia ya wamarekani ?

Silaha za wazungu
ndio zinatumika kuilinda saudi arabia
Maswali kama haya huwakuti wakiyajibu watajizungusha wee muda uende wafunike kombe
 
Jiulize mbona holy place misikiti ya Mecca na madina inalindwa kwa teknolojia ya wamarekani ?

Silaha za wazungu ndio zinatumika kuilinda saudi arabia
Nyinyi mnaamini ni teknolojia ya wamarekani sisi tunaona ni rehma za Allah alizowafunulia waja wake hasa baada ya kushuswa kwa Quran.
Hivyo vifaa huko vinakotoka havijawapa usalama utadhani hawajui kuvitumia.Ukienda Makka jinsi waarabu wanavyoviendesha kwa ufanisi bila kuwepo wazungu utafikiri vyote ni made in Saudia.
 
Fatilieni vizuri historia ya dunia bro, Iraq, Iran kama sikosei pamoja na Syria kwa asili hawa sio Waarabu; wanaunganishwa na Uarabu leo kwasababu ya Uislam but before Islam those countries were not part of Arab league. Iraq ni taifa la siku nyingi sana hapa duniani, I think ndio taifa la kwanza ulimwenguni. Waarabu wamekuja baadae sana baadae sana, Waarabu wametanguliwa na black people for years in the world. Mwarabu ni product ya Iraq na Misri ya weusi ya those years. So huyu mwana sayansi mwenye asili ya Iraq ieleweke hakua mwarabu. Vita vya Ottoman ndio vilisababisha mashariki ya kati kua na uarabu everywhere na that war was to spread Islamic world-wide, waliiteka hadi Ulaya mashariki na of course walikua wanakwend hadi Ulaya Magharibi, walikwamia Italy pale yalipo makao makuu ya Roman Catholic leo yaani Vatcan, sababu zinajulikana
Nahitaji elimu hapa mkuu;

"walikwamia Italy pale yalipo makao makuu ya Roman Catholic leo yaani Vatcan, sababu zinajulikana"

kama utaweza kunisaidia,share kidogo knowledge.
 
QUOTE="Webabu, post: 51475258, member: 23239"]
Huu ni ukweli ambao wengi hawaujui kwani umejificha ya kuwa lugha ya kiarabu ndio lugha iliyotumika kuufikishia ulimwengu elimu karibu zote.

Lugha ya kiarabu ambayo ndiyo lugha iliyoteremshiwa Qur'an imetoa fursa za wazi kwa walimwengu dunia nzima na kuwapa ujanja wa kuishi na kuifaidi dunia.

Kwa ufupi kabisa ufunguzi wa ulimwengu kielimu ulianzia Baghdad wakati wa utawala wa bani Umayya na baadae utawala wa Abbasiya chini ya utawala wa Haroun Alrashid.

Tawala hizo ndizo zilijenga maktaba kubwa sana iliyoitwa baitul Hikma ambayo ilidumu kwa karne nyingi kabla kubomolewa katika vita kutoka watawala wa kikristo waliopitia bara hindi.

Chanzo cha maktaba hiyo ilikuwa ni wakuu wa koo za kiarabu waliopenda kuhifadhi Qur'an na hadithi za mtume Muhammad saw pamoja na mashairi mazuri ya koo zao.

Mara maktaba hiyo ikaanza kuweka vitabu vyengine vilivyopatikana katika tawala ambako majeshi ya waislamu yalikuwa yakienda wakati wa vita na kutoka misafara ya kawaida ya kibiashara.

Maandishi hayo hayakuwa katika mfumo wa vitabu vya kisasa yalipatikana kutoka tawala za kirumi,kigiriki na kihindi.Maandishi hayo yailetwa hapo na kutafsiriwa kuingizwa lugha ya kiarabu.

Maktaba hiyo kila miaka ilivyoongezeka ikapanuliwa na kuongezwa vitengo vya matawi mbali mbali ya kielimu ukiongezea na kitengo cha uchapishaji.

Hatimae teknolojia ya uchapishaji na uandishi kwa njia nyepesi uliochukuliwa kutoka mbali kama vile China ukaingizwa kwenye maktaba hiyo na kuongeza kasi za uandishi na tafsiri.

Vitengo vilivyonawiri zaidi katika kituo hicho ni vile vya elimu ya tiba,elimu ya anga na hesabati chini ya mwanahesabati Alkhwarizm ambaye ndiye mwandishi wa kitabu cha aljebra alichokiandika katika kutafsrii mahesabu yaliyomo ndani ya Qur'an juu ya mirathi.

Umaarufu wa maktaba hiyo ambao uligeuka kuwa kama chuo cha elimu uliwavuta watu wengi sana kutoka maeneo ya jirani ikiwemo Iran na majimbo ya Urusi kuja kujisomea au kwa kazi maalumu. Kulikuwa na wafanyakazi wa kila fani na kutoka maeneo mbali mbali.Walikuwepo waliokuwa na asili za kiyahudi na makabila mengineyo ya jirani.

Kituo hicho kilipobomolewa na kuchomwa moto,mto wa dijla ambao unajulikana sasa kama euphrates uligeuka rangi kuwa mweusi kutokana na wino wa vitabu hivyo.

Wakatokea baadhi ya wasomi na waliokuwa wafanyakazi wa kituo hicho wakachagua baadhi ya nakala walizoweza kuziokoa na kwenda nazo maeneo yao.Miongoni mwa hao ni Nasrudin Al tulsi wa Azerbajan ambaye alikwishajenga kituo chake cha anga huko kwao.Yeye alifanikiwa kuokoa vitabu zaidi ya 40,000 ambavyo alikuwa akivibeba kidogo kidogo kwa kutumia farasi na ngamia.

Pamoja na kupigwa vita,waislamu nao kwa fitna walikuwa na ugomvi baina yao wenyewe.Wako walionusurika vifo na kuamua kukimbilia maeneo ya mbali ambako tayari athari za tawala za kiislamu zilikwishatangulia.
Maeneo hayo ni kama vile kaskazini ya Afrika,Libya,Tunisia,Aljeria na Morocco mbali na maeneo ya ndani ya kama vile MalimChad na Niger.

Kwa upande wa Ulaya ya sasa waislamu walikwishatangulia Spain zamani. Mmoja ya waliofanikiwa kuhama na kuendeleza mfano wa tawala za Baghdad ni Abulrahmaan ambaye alikwenda kufanya makazi yake Cordoba chini ya himaya ya Ummawiyah. Miji mingi sana ndani ya Spain iliyojulikana wakati huo kama Andalus ilijengwa kwa nidhamu za tawala za kiislamu ambapo lazima kuwe na maktaba.Miji michache kati ya hiyo ni Granada,Sevile na Toledo.

Kwa mfano papa Sylvester (Gerbet) ni miongoni mwa wakristo wa mwanzo kusoma kwenye chuo kikuu cha kiislamu cha Granada na aliwahi kuhudhuria mafunzo chuo kikuu kikongwe zaidi duniani cha Alqarawiney ambacho kiko Fez nchini Morroco ambacho bado kinaendeshwa kwa mfumo ule ule maarufu kama madrasa.

Papa Syvester ambaye alivutiwa sana na utamaduni wa waislamu na elimu zao alipenda sana somo la hisabati na ndiye wa mwanzo kuingiza elimu hiyo nchini Italy wakati wa utawala wake ambapo mwenyewe alikuwa ni mwalimu pia pamoja na kazi za upapa (1095).

Maktaba ya Toledo ndiyo maarufu zaidi kwani hapo ndipo makabila mengi ya Ulaya kuanzia Ureno, Ufaransa,Italy na kote kwengineko walisoma na kutafsiri kazi hizo kutoka lugha ya kiarabu na kuingiza kwenye lugha zao za asili. Katika maktaba hiyo pia walikuwepo wafasiri walioweza kuingiza elimu hizo kwenye lugha ya kiyahudi ya kiebrania.

Ikumbukwe wakati ulimwengu wa kiisalamu ukiwa unairithisha dunia elimu kwa lugha zao kutoka kiarabu lugha maarufu za sasa kama vile kiiengereza na kifaransa hazikuwepo au ndio muda zilikuwa zinazaliwa na kuanza kujulikana.

Vitabu vilivyoandikwa kwa lugha ya kiarabu na kutumika kwenye vyuo vikuu vingi vya ulaya walivyojenga wenyewe ni vingi sana.Ngoja tutaje baadhi tu ya vitabu hivyo.

1. AL HAW. Ni kitabu cha tiba kiliandikwa na Abubakr Al Razi (864 -935)AD.Kinajumuisha vitabu vidogo (volumes) 23.Kilitafsiriwa kuingizwa lugha ya kilatin na myahudi aitwaye Faraj ben Salim kutoka visiwa vya Sicily mnamo mwakka 1276.

2. AL QANON FIY TTIB cha tiba kwa kiiengereza kinajulikana kama The canon of medicines. Kiliandikwa na Ibn Sina (980 -1037)AD.Kitabu hicho kimetumika kama rejea kubwa kwenye vyuo vikuu vya Ulaya mpaka mwaka 1650.Kilikuwa kikitoa ufafanuzi wa tiba na madawa kwa kutumia michoro kufahamisha vizuri.

3. KITAB AL TASIF cha Abul Qassim (936-1013)AD.Ni mkusanyiko wa vitabu vidogo 30.Abulcasis ndiye mvumbuzi wa vifaa zaidi ya 200 vinavyotumika mpaka leo kwenye vyumba vya upasuaji na vitabu vyake vimetumika kufundishia Ulaya kwa zaidi ya miaka 500.Aliishi na kufia mjini Cordoba ndani ya Spain.Nyumba yake mpaka leo ipo na imepewa thamani ya juu katika utalii wa majengo.

4.AL KITAB AL MUKHTASAR FIY HISAB ALJABR WAL MUQABALA.Kiliandikwa na Muhammad bin Mussa Alkharizm (780-850).Alikuwa ni mmoja ya wafanyakazi mashuhuri wa kitengo cha kutafsiri maandishi kwenye jengo la Baitul Hikma na baadae akawa ndiye mkurugenzi wa kituo hicho.

Pamoja na kazi nyingi alizozifanya alisoma na kutafsiri maandishi ya Euclid, mwanafalsa wa zamani wa kigiriki.Hata hivyo maandishi na hesabu zake za Aljebra ambazo ndizo zilizozalisha ujanja wote wa hesabu duniani haujaonekana kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na michoro ya maumbile ya Euclid.

Nakala halisi ya kitabu cha Alkhwarizm katika hati zake za kiarabu kinapatikana kwenye maktaba ya chuo kikuu cha Oxford nchini Uiengereza.
[/QUOTE]
Ni lini waafrika tutajitambua na kuthamini vya kwetu? Badala ya kupigiwa debe lugha zetu tunapambana na lugha sijuwi za waarabu zitusaidie nini. Hakuna watu katili na wenye roho mbaya dhidi ya ngozi nyeusi kama hao waarabu.Tuachane na tamaduni za kigeni kwani na sisi tuna tamaduni zetu.
 
Umekwenda mbali bure bila sababu.Hapo kilichokusudiwa ni kutaja historia ya kweli ili kwanza tujue kwamba na sisi tukipenda na tukawa na nia nzuri basi tunaweza
 
Ni ukweli ambao hakuna anayeweza kuukana.
Wachila mbali wewe.Wazungu kwa hili hawawezi kufungua kinywa.
Latin ndiyo lugha asili ya sayansi,
Sayansi ilianza tangu enzi za ugiriki ya kale hata kina Archimedes waliikuta sayansi tayari ipo miaka ya 200BC
Muhammad ibn Musa Al-khwarizmi ni miongoni mwa wanahisabati (sio mwanzilishi wa algebra), aliendeleza kazi ambayo ilishafanywa na kina Diophantus on algebra (Algebra ilikuwapo tangu enzi za babelonia) Mchango wake kwenye algebra ni hii tunayofanya saivi kucheza na numbers kwa kutumia variables (letters) na systems of equations, ambayo akaintroduce pia system of equations kwenye kitabu chake (kinaitwa book of calculations on completion and balancing)
Aligundua.
 
Tumezungumzia zaidi kiarabu kwamba ndiyo lugha inayoweza kuhusishwa na hii elimu tunayoiita leo sayansi.kabla ya hapo wapo watu kama hao uliowataja ambao waliandika fikra zao katika lugha ambazo kwa sasa karibu zimepotea.
Waislamu walikushanya kila fikra waliyoikuta na kuichanganya pamoja na halafu kugawanya tanzu za kielimu jambo ambalo kwa historia iliyokushanywa halikuwepo kabla yao.
Baada ya hapo tunarudia kusema wanafalsafa wa kigiriki na wengineo wasingeweza kujulikana kabisa kama si juhudi za waislamu.Lugha walizoandikia fikra zao zingekufa na elimu walizoandika.
Leo dunia nzima inajidai kuwataja akina Plato na Ptolemy na wenzao bila kusema kwa hisani ya waislamu kupitia lugha ya kiarabu.
vitabu vya waandishi wa kiislamu vingi vimekamatwa vikiwa vimepewa majina ya watu wengine baada ya teknolojia ya uchapishaji kupata nguvu mwanzoni mwa karne ya 12.
 
Kwanza elewwa kwamba habari za socrates na wengine uliowataja wala usingeliwajua kama si akina hao ALKHWARIZM.kwa uadilifu kabisa wakakuwekea habari zao na kutafsiri kazi zao.
Wote unaowataja walifanya kazi wakati wao lakini zilikuwa zina makosa mengi sana.yalisahihishwa na waislamu na kuendelezwa.
Una mantiki lakini kuna sehemu unachanganya mambo kwa kuyajumlisha yote yote. Kuna sehemu watu wa jamii nyingine walikuwa wameshafanya baadhi ya mambo, then wengine wakafanya kwa kuanzia walipoishia, au tuseme kuna mahesabu tayari yalishaanza sehemu za ugiriki na kwa waarabu pia, the rest ni kujituma kwa wanamahesabu kuendelea walipoanzia au kuishia wengine, the rest ni mashindano ya sisi watu average bila kujali rangi,dini wala kabila.

Kuna mambo uko sawa na mengine hauko sawa.

Pia hesabu bado hazijakamilika, kama na weusi wakiweza kufanya watapata credit google hii ' List of unsolved problems in mathematics', ukifanikisha unapata heshima,pesa na michongo. Tunavyoandika kuna watu wanapambana, tena kwa kushirikiana waarabu na wazungu,sisi tunabaki kuwa mashabiki kijinga jinga.

Kuna hesabu tangu mwaka 1900 bado hazijapatiwa proof
 
Back
Top Bottom