Kiasi chake Lema yuko sahihi, niliishi USA miaka kumi niliporudi nchini niliamini Watanzania tuna laana

Huyu Lema amewagusa waliopewa hela na GeorDavie aloo
Moto wao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91]
 
Tatizo sio Uhuru, Ila wakoloni wameongeza unyonyaji baada kutuachia Uhuru ili kutukomesha, wameshusha Bei ya kununulia bidhaa zetu wakati za kwao zinapanda kila siku.
 

Hatuwez piga hatua kama hakutakua na political revolution wenzetu walipigana wakulima waligoma wanyakaz waligoma inch hazikukalika warafi kama kina king Luis na marry Antoinette hawakulindwa na jesh walipotezwa na inchi zikaendelea uku unakuta kiongoz wa serikali ana hekar Mia tano kila mkoa nyumba 8 kila mkoa shares kwenye kila kampun inchi itaendelea lin hapo na wananchi tupo kimya tu
 
Stori yako hii ni ya uongo, na ni ya kusikitisha sana kwa mtu wa aina yako kuwa na mawazo ya aina hii!

Yaani unamdhalilisha sana mzee wa watu kwa kumpachika mawazo ya kijinga kama haya.

Mandela asijue maana ya mtu kuwa huru, aone kuwa na magharofa ndio uhuru? Hivi watu wa siku hizi akili zenu mmezipeleka wapi?

Mandela asijue, kazi kubwa iliyofanywa na waTanzania kuchangia uhuru wa nchi yake, badala yake aliye kwa kuwaona waTanzania walivyokuwa wajinga kujitoa mhanga kusaidia juhudi za wao kuwa huru?

Ngoja niangalie jina tena ninayemwandika haya. 'Mdukuzi', nakumbuka nimesoma stori zako nyingi siku hizi za karibuni humu, zote ni za kipuuzipuuzi tu, kumbe ndivyo ulivyo?

Hopeless kabisa.

Halafu unajigamba umeishi sijui wapi miaka kumi na zaidi, kumbe kuishi kote huko kama ni kweli, hakukufundisha lolote, ukabaki mtupu tu kichwani, na ujuzi wa kutunga vi-stori vya hapa na pale visivyokuwa na maana yoyote.

Edit: SAMAHANI, NAFUTA KILA KITU NILICHOANDIKA HAPO JUU BAAD YA KUKUSOMA HADI MWISHO WA STORI YAKO.
 
Tumeanza kule handeni tumepeleka wamasai soon utaona mji umekuwa
 

Well said.
 
Nakupata mkuu,kwa nondo hizi bila shaka we ni mwalimu wa history two,umechamvua vizuri ila hayo kutekelezeka ni ngumu sana viongozi wa afrika ni miungu watu
 
Tuna akili za hovyo sana, mfano mzuri angalia town planer wanajua kabsa baada ya miaka 5 hapa patakuwa ni mafuriko ya wananchi lkn unakuta viwanja wanagawa kama kawaida pasipokuweka miundombinu ya kutosha miaka 10 baadae eti unabomolewa na fidia juu.
 
Naam, maelezo murua sana. Naomba Source kama hutojali.
 
Ni kweli home ni home tuu, lakini kumwelewa mleta uzi lazima uwe umeishi nchi za maana kama US tena kwa muda mrefu, bongo mna njaa na wengi ni wapumbavu kupindukia, wengi mwanzoni tulikuwa na ndoto za kufanya mambo ya maana lakini ilibidi tukubali matokeo na bongo iwe sehemu ya vacation tuu, sikuamini macho yangu wabongo badala ya kupanga foleni kupanda daladala wanapigania kuingia kupitia madirishani, huo kama sio wehu ni nini?
 
Kujikwamua kwenye umasikini ni wajibu wako binafsi, serikali ina-play nafasi ndogo sana, if any.
Serikali bila kuweka mazingira bora wataibuka wajanja wachache watakula keki yote peke yao.

Ni sawa na mpira wa miguu kuchezwa bila refa kuna timu itashinda tu ila huo ushindi ni balaa,hakuna filimbi ya foul wala offside
 
Naona unaitazama Tanzania ukiwa mtaroni.
Panda mlima wa mafanikio kwa kufanya kazi, na utaona jinsi Tanzania ilivyo nzuri kuliko ughaibuni.

Porojo za watz bana hadi unacheka!
Wanao iona TZ nzuri ni hawa corrupt wanao karabati kivuko kwa bei ya kivuko kipya!

Mm na ww tunapigika tu
 
Serikali bila kuweka mazingira bora wataibuka wajanja wachache watakula keki yote peke yao.

Ni sawa na mpira wa miguu kuchezwa bila refa kuna timu itashinda tu ila huo ushindi ni balaa,hakuna filimbi ya foul wala offside
Duniani kote wanaokula keki huwa ni wajanja wachache. Ni wajibu wako binafsi kufanya kazi kwa bidii uwe mmoja wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…