super black Boy
Senior Member
- Oct 15, 2019
- 135
- 169
Ulikuwa na akili za kitoto sana, aliyekuambia kwenda hotel kali ndo na mechi inakuwa kali ni nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pia show kali haina cha huyu demu bado bikra au huyu demu kashakuwa bwawa, mwanaume ukiwa fundi unapenya popote na mechi inakuwa kali balaa, wewe kiwango kidogo sana dogo, kazana angalau utoke ndondo cup uende ligi daraja la 2.
Unforgetable
Nimewahi kutumia laki 3,
Nakumbuka siku hyo tulipanga na demu tukale bata,ila akachagua sehemu tutakayo enda,akanambia atatangulia ili nimkute huko,Mimi nikaandaa laki coz nilijua tutakuwa wawili,Eee bwanaee ile nafika tu nikakuta yuko na best zake wanne,nilitamani kukimbia sema ndo hivo walikuwa washaniona,Ikabidi niende hvo hvo ila kiunyonge,
Nilivo fika kwenye meza nikahisi kichwa kupata moto,savanna ziko sita pale mezani,Ikabidi me niagize nyama tu,sasa kadri time ilivyo kuwa inaenda wakawa wana agiza vinywaji mpaka ambavyo sijawahi ona,cha ajabu mademu wako normal ile mbaya,nililetewa bill mida ya saa6 ikawa inasoma 340000,Ikabidi nikadroo tu ila hamu na yule demu ilikuwa ishapotea cz sikufikiria atakuwa wa aina ile.
Sikuwa na hamu tena ya kuchukua room ilibidi twende parking tu nikawapakiza kwenye gari mana cku hiyo ilibidi niazime na ndinga ili kujimwambafai,ile nimewafikisha hom wakat narud hom nikawa nawaza hela yangu tu,yan nilipatwa na hasira mpaka nikawa Nahisi roho yangu inakata mana katika life Langu sikuwahi kupoteza Hata 50k kwa manzi,
Wahenga bwana hawakukosea kusema jasho la mtu halipotei bure,kesho yake wale mademu wakaanza shobo za text kila muda,nikasema hawa wote lazima walipe jasho Langu,Hao mademu nimewachapa ndani ya mwaka mzima huku hawajuani,Wame kuja kujuana ndo nakaribia kwenda chuo kuendeleza maujuzi,walitukana mpaka basi nikawa siwajibu tena,ila saivi kuna wawili tena kati yao naona wanarudisha shobo tena.
Umesahau ulinikula wewe?? Uzee unakuingia vibaya ππππKwahyo ulijila mwenyewe ama?
Ha haha ha ha ha kwan Dengue bado iko mjini mbona kama inataka kukuanza Kasie matata?Umesahau ulinikula wewe?? Uzee unakuingia vibaya ππππ
Yaani wewe hebu fanya urudi nyumbani haraka maana na hii mvua mbu wa Dengue wanakuathiri hata mchana.Ha haha ha ha ha kwan Dengue bado iko mjini mbona kama inataka kukuanza Kasie matata?
Hahaha ndo dawa yao, cku nyingine akileta rafiki zake fanya kma una haraka muite muhudumu lipia vile wanavyokunywa mda huo unasepa,Nimewahi kutumia laki 3,
Nakumbuka siku hyo tulipanga na demu tukale bata,ila akachagua sehemu tutakayo enda,akanambia atatangulia ili nimkute huko,Mimi nikaandaa laki coz nilijua tutakuwa wawili,Eee bwanaee ile nafika tu nikakuta yuko na best zake wanne,nilitamani kukimbia sema ndo hivo walikuwa washaniona,Ikabidi niende hvo hvo ila kiunyonge,
Nilivo fika kwenye meza nikahisi kichwa kupata moto,savanna ziko sita pale mezani,Ikabidi me niagize nyama tu,sasa kadri time ilivyo kuwa inaenda wakawa wana agiza vinywaji mpaka ambavyo sijawahi ona,cha ajabu mademu wako normal ile mbaya,nililetewa bill mida ya saa6 ikawa inasoma 340000,Ikabidi nikadroo tu ila hamu na yule demu ilikuwa ishapotea cz sikufikiria atakuwa wa aina ile.
Sikuwa na hamu tena ya kuchukua room ilibidi twende parking tu nikawapakiza kwenye gari mana cku hiyo ilibidi niazime na ndinga ili kujimwambafai,ile nimewafikisha hom wakat narud hom nikawa nawaza hela yangu tu,yan nilipatwa na hasira mpaka nikawa Nahisi roho yangu inakata mana katika life Langu sikuwahi kupoteza Hata 50k kwa manzi,
Wahenga bwana hawakukosea kusema jasho la mtu halipotei bure,kesho yake wale mademu wakaanza shobo za text kila muda,nikasema hawa wote lazima walipe jasho Langu,Hao mademu nimewachapa ndani ya mwaka mzima huku hawajuani,Wame kuja kujuana ndo nakaribia kwenda chuo kuendeleza maujuzi,walitukana mpaka basi nikawa siwajibu tena,ila saivi kuna wawili tena kati yao naona wanarudisha shobo tena.
total cost ilikuwa kiasi gani?Yeah, ila kwa gharama zangu. Tiketi ya kwenda na kurudi gharama za hoteli na kula. Visa na zawadi nilizojinunulia zote gharama yangu.
total cost ilikuwa kiasi gani?
oooh sawa mie nakumbuka wakati sina kitu tu ile elfu sitini iliniuma sanaπππShekeli kadhaa ila nyingi.
Yote maisha....oooh sawa mie nakumbuka wakati sina kitu tu ile elfu sitini iliniuma sanaπππ
Hongera sana. Kumbe ndio maana V naye alikuwa hapokei hela.Mimi mwanaume akinipa pesa baada ya kupigwa ukuni sipogo comfortable kabisa.
Naona kama ananilipa malipo ya service, yaani maana yake nilikua najiuza kwake.
Sipokeagi. Bora unipe another day nikiwa fresh minded.
Hahaha.. Dah pole mkuuMtoto wa kiume gharamika weee
Chukua room 5 star hotel
Unatulia ndani unakula AC machakula mazaga zaga yoteee
unamuuliza "umefika wapi beib"
akanijibu "sorrie beib nimepata dharura huwezi amini mume wangu tufanye siku ingne,soriie hun"
Aseeee nilishikwa na ganzi ikawa ndio mara yangu ya kwanza kujilaza 5star hotel peke yangu
Hadi leo sitosahau lile tukio gumu na la kuumiza.
ni kweli huwa hata mimi spendi kabisa mpa mtoto wa watu hela ile day kanipa utramuuMimi mwanaume akinipa pesa baada ya kupigwa ukuni sipogo comfortable kabisa.
Naona kama ananilipa malipo ya service, yaani maana yake nilikua najiuza kwake.
Sipokeagi. Bora unipe another day nikiwa fresh minded.