Kiasi kikubwa cha bangi ya hapa nchini ni kushabu, watu wanavuta makapi sio bangi

Kiasi kikubwa cha bangi ya hapa nchini ni kushabu, watu wanavuta makapi sio bangi

View attachment 2068813

Kushabu/Koshabu ni bangi ambayo haijakidhi viwango, unaweza kusema ni makapi pia. Inakuaga

Ndio aina ya bangi ambayo huuzwa kwa kiasi kikubwa hapa nchini, kati ya wauzaji 10 wauzaji tisa huuza kushabu. huyo mmoja aliebaki hadi kumpata ni mpaka connection, nadra sana kumpata kiukweli, ubora huwa ni wa juu na bei huwa zimechangamka, mzigo kidogo tu lakini unapata guarantee, starehe gharama.

Wengi wakivuta siku ya kwanza watalia ni vipofu kumbe wamesahau kuwasha taa, hukimbia mawingu, hubeba toroli badala ya kusukuma, hutukana ovyo ovyo, n.k. hii ndio gharama ya kuigiza uchafu kichwani

Ukizoea sana kushabu tayari wewe kichwa panzi, unaweza kuwa kichaa kabisa

Wanaokula kushabu ni masikini wanaoshindwa kupata grade one aidha hawana pesa au hawana maarifa ya kujua viwango wao wanavuta ilimradi iwe bangi tu.

Usije kujidanganya kwamba bangi unayovuta hapa kwetu ni sawa ya wanayovuta huko Marekani, Jamaica, n.k
Lakini Job hutumia high grade tyu
 
[emoji3][emoji3] otesha mjani nyumbani kwako hata miche sita !! Unachuma majani yako mwenyewe kwa kuyakadiria kabla hayajakua sana [emoji3] unakula mjani safi bila bugudha !! Tatizo huku kwetu bongo tunakula mjani kwa sifa na kutaka kujisahaulisha matatizo !!
Mkuu inachukua muda gan mpaka miche kuwa tayari kuvunwa
kwa matumizi?
 
View attachment 2068813

Kushabu/Koshabu ni bangi ambayo haijakidhi viwango, unaweza kusema ni makapi pia. Inakuaga

Ndio aina ya bangi ambayo huuzwa kwa kiasi kikubwa hapa nchini, kati ya wauzaji 10 wauzaji tisa huuza kushabu. huyo mmoja aliebaki hadi kumpata ni mpaka connection, nadra sana kumpata kiukweli, ubora huwa ni wa juu na bei huwa zimechangamka, mzigo kidogo tu lakini unapata guarantee, starehe gharama.

Wengi wakivuta siku ya kwanza watalia ni vipofu kumbe wamesahau kuwasha taa, hukimbia mawingu, hubeba toroli badala ya kusukuma, hutukana ovyo ovyo, n.k. hii ndio gharama ya kuigiza uchafu kichwani

Ukizoea sana kushabu tayari wewe kichwa panzi, unaweza kuwa kichaa kabisa

Wanaokula kushabu ni masikini wanaoshindwa kupata grade one aidha hawana pesa au hawana maarifa ya kujua viwango wao wanavuta ilimradi iwe bangi tu.

Usije kujidanganya kwamba bangi unayovuta hapa kwetu ni sawa ya wanayovuta huko Marekani, Jamaica, n.k. huko watu wanavuta bangi na sio uchafu ndio maana huji kusikia mtu kawehuka, sijui akili zimemtoka, ana ropoka ropoka, n.k. Kazi ipo huku ambako hata wakulima wa bangi kwenye uvunaji hawajui mbinu za kuvuna vizuri wao wanakurupuka tu, nae muuzaji anaenunua kwa wakulima hata hana elimu ya huu mmea yeye anauza tu ilimradi apate pesa, nao wanunuzi ndio wahanga wakubwa hawajui hata kama wanauziwa kushabu matokeo yake ndio haya mnayoyaona mtu akivuta bangi siku ya kwanza ha tofauti na mwehu, nadhani hata kina afande sele wanavuta kushabu wakijinadi kwamba wanavuta yenyewe matokeo yake ndio kuvua nguo kwenye steji na vituko vingine kibao ambavyo huwezi kuja kuvisikia huko nchi ambazo hawavuti kushabu.

Binafsi nimekusamehe bure.hivi ushapiga inatotoka oldinyo sambo au kisimiri kule wewe!!
Ngoja ninyamaze tu
 
Mawenge ya hii kitu huletwa na njaa mkuu,mtu kama hana uhakika wa Milo miwili asivute ndumu.
 
Back
Top Bottom