Kiasili wanawake ni wabnafsi. Je ndivyo walivyoumbwa?

Vijana hawa,angelijua ilo dudumizi halilipikagi badae... hiyo boom angetuma sukari kilo kijijini
Duuuh unanikumbusha machungu mkuu.Nilihudumia miaka mitatu afu akaja kuoa mwingine tulipotoka chuo.🤣🤣🤣
 
Mdau kweli ukiendekeza wanawake wa kiafrika ni tabu
 
Hamjuani mnakutana na mwanamke anaanza kujibebisha ili uombe mzigou, ok, unaomba mzigou anakupa halafu anataka umpe na hela,umnumulie bia.
Asubuhi anakulaumu wa kumnywesha bia so anadai heka ya soup akate hang'over.

Njia rahisi ya kumwepuka mwanamke ni kumnyima pesa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…