chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Nimesikia hotuba ya Lissu katika sherehe za siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na BAWACHA. Hotuba hiyo ilidhihirisha kwamba hakuna mpango kazi wowote wa "no reform no election".
Tundu Lissu alionekana kujivua lawama kuhusu kauli hiyo na kusema iliasisiwa na uongozi uliotangulia.
Kwa hakika kabisa, very soon chadema wataitema kauli hiyo au kuanza kuibumba kwa maneno tofauti.
Hakika kiatu cha Mbowe ni kikubwa kwa mrithi