Kiatu cha Mbowe ni kikubwa kwa Lissu? "No refom, No election" fupa gumu kwa Lissu, aanza kujitoa na kusema liliamuliwa na uongozi uliopita wa chadema

🚮🚮🚮
 
kiatu cha samia kina mubana sasa lucas mwanshamba na id zenu JF
 
Lissu licha ya kuwa msanii, anaweza kuwa tapeli wa kawaida mwenye matatizo ya akili baada ya kunyeshewa mvua ya risasi. Asiwe kama kichaa Trump ambaye hata aking'atwa na mbu anasema katumwa na Biden. Mbowe si kiongozi wa Chadema tena. Lissu aonyeshe tofauti na kutimiza ahadi alizotoea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…