Kiba abeba tuzo ya video bora soundcity Nigeria

Kuna watu hawataniani bali huumizwa na mafanikio ya hawa wanamuziki...
sababu ni ndogo tuu tabiri za kushindwa kwao...kuna waliotabiri Diamond atafeli akifanikiwa huumia na kuibua yasiyohusika, pia wapo waliotabiri Ally kufeli anapofanikiwa kama hivi huumia na kutafuta pa kujifichia......
Hii ni ishara tosha hata kwenye haya maisha yetu ya kila siku huwa tunatabiriana hivyo yakiwa kinyume ndo hayoo ya kutafuta kichaka,, wahanga ni wengi sana mtu anaweza mchukia na kumtabiria mabaya mwenzake kisa tuu kapita njia asiyoiamini...
kuna watu bila aibu walitumia nguvu nyingi kuikosoa videoza Ally za Mwana na Aje pia wimbo walioshirikiana Saut sol na Ally wakidai Ally kaharibu hajui na mengine mengi wimbo ulipoanza kutamba kwenye chati mbalimbali wakabadili maneno mara kabebwa wengine wakajitia wazimu na kudai ni wimbo wa Saut sol na si wa pamoja, pia wapo waliokosoa wimbo kama wa Nana wa Diamond na Mr.Flavour ama wa Make me sing lakini zilipokuja kubeba tunzo wakaanza hoo kabebwa mara si nyimbo zake na upuuzi kibao.....
hatukatai kuna baadhi ya nyimbo huwa si kali sana kama Lupela ya Ally na Wangu ya Diamond na Dolnard na ni kawaida siku zote huwezi patia mahutaji ya wengi lakini si kila siku maneno mbovumbovu
 
Umesomeka mkuu...tukubali tu Aje imefanya makubwa sana huu mwaka!!
 
Seriously..? Kiba ana miaka 11 kweny mziki.? [emoji23] [emoji23] cha ajabu amezidiw Tuzo na Mtoto mwenye miaka 7 cjui kwnye mziki.? Takwimu zinasema eti Diamond ana Tuzo zaid ya 187 [emoji124] [emoji124]
Kwahiyo christiano ronaldo ni bora kuliko maradonna kisa anatuzo nyingi za mchezaji bora hahahaha
 
Aaah sana kile mitume na zama zake bhana.. Maradonna za magoli ya Mkono na timu aliyochezea ilikuw na wachezaj waliojituma na uchungu na timu yao sio hii ya sasa kila kitu wanasubir Ronaldo atafanya nin hivyo inakuw rahis kutwaa vikombe kama ananywea chai..
 
Wale waliosema kuwa aje haikutakiwa kuwa video bora bongo eti moyoshine ndio ilitakiwa kuchukua hiyo tuzo, Hatima video hiyo imeendelea kupasua anga za kimataifa na hiyo jana kunyakuwa video bora ya mwaka kwa africa kupitia kituo kikubwa cha television cha soundcity televion. Hongera kingkiba View attachment 451942

Ni kuda sasa wa kwenda Nigeria kufanya show, na sio kwenye bar na guest house za vichochoroni, yaani Kiba anapamda kwenye stage speaker zipo juu ya kreti, ukumbi una mike mbili na zote zinakoroma
 
Waambie hao mkuu,maana ni vichwa maji wameshupalia tuzo tu uku msanii wao akiperform juu ya kreti za chibuku!!
 
Ni kuda sasa wa kwenda Nigeria kufanya show, na sio kwenye bar na guest house za vichochoroni, yaani Kiba anapamda kwenye stage speaker zipo juu ya kreti, ukumbi una mike mbili na zote zinakoroma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana.
Hater akikuamulia Wallah badala ya kukasirika unajikuta tu unacheka
 
Mond ni self made jina lake linatajka bila kutegemea chochote, na kiba is affiliated huwezi kumuongelea kiba bila kumtaja mond bin laden!
 
Ngoja nimfate Kariakoo nikamwambie kuwa ajiandae akachukue tuzo yake naijeria maana mpaka mida namuacha maskani alikuwa anacheza keramu hana hata habari
haaaa haaaaa haaaa kaka stunter kiba ni mtu wa pwani halisi napenda lifestyle yake anajichanganya sana mitaa ya kariakoo,juzi tulikuwa tunacheza nae mpira yuko simple sana
 
OK.sitoki kwenye Mada kuu.point hapa ni 'aje 'kuchukua tuzo ya video bora ya soundcity!!we are happy ,hizo story nyingine ziwe akiba ya Siku nyingine!!
Halafu kuhusu diamond kwamba ana ratiba mpaka mwakani sitalizungumzia maana ile ratiba iliyotolewa na sallam_sk sijui kama mliona utekelezaji wake!mnatangaza ratiba ili tuu mpate kiki..ratiba imejaa show za London ili muwarushe watu roho lakini hatukuona kitu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ndio kujifariji uko,mnapeana moyo humu wakati hats taarifa za show za king wenu hamzijui,ila za mond mnajua ratiba yake mpaka mwakani!
Jipeni moyo tu humu
,
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana.
Hater akikuamulia Wallah badala ya kukasirika unajikuta tu unacheka

Diamond nae kachukua wapi?, haiwezekani Kiba apate award na Chibu akose, lazima nae apate leo au keaho
 
Hivi kunafaida gani kupewa tuzo huku huna hela yaani mashabiki wananunua nyimbo za yule ila ww unapata tuzo......
ccm ndo baba wa haya maigizo
 
Back
Top Bottom