jojoe35
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 262
- 378
- Thread starter
-
- #61
Apa ndonapomshusha kiba ad namkanyaga nakumnyea.. Ivi inakuaje mtu alikua anajikomba kwa sharobaro ili atoke ad unaulizwa ww kama inspector arekodiwe au laa! Leo anakua #Africanact na #worldwideact ww bado ata #eastafricanact hujafika!!!! Mazerfantaaaaazzz... Ningekua karbu ningemkata mabaoKamuulize bob junior kwamba wakati diamond kaenda kuomba kuimba pale sharobaro records.. Alimshirikisha nani kujadili kama diamond arekod au asirekod ?...jibu alimpigia simu kiba kumwambia kuna Dogo hapa vp tumrekodie?..kiba akamwambia kama yuko fresh arekod ila zoez nnalokupa ww uliyepost ni kutafuta ujue wakati kiba anapigiwa simu alikuwa wapi na anafanya nn ?..ndo utajua sasa kwamba kiba ni nani.