Kiba banaa..!!

Kiba banaa..!!

Kamuulize bob junior kwamba wakati diamond kaenda kuomba kuimba pale sharobaro records.. Alimshirikisha nani kujadili kama diamond arekod au asirekod ?...jibu alimpigia simu kiba kumwambia kuna Dogo hapa vp tumrekodie?..kiba akamwambia kama yuko fresh arekod ila zoez nnalokupa ww uliyepost ni kutafuta ujue wakati kiba anapigiwa simu alikuwa wapi na anafanya nn ?..ndo utajua sasa kwamba kiba ni nani.
Apa ndonapomshusha kiba ad namkanyaga nakumnyea.. Ivi inakuaje mtu alikua anajikomba kwa sharobaro ili atoke ad unaulizwa ww kama inspector arekodiwe au laa! Leo anakua #Africanact na #worldwideact ww bado ata #eastafricanact hujafika!!!! Mazerfantaaaaazzz... Ningekua karbu ningemkata mabao
 
Hujajibu swali unakimbilia kunya sijui nn vp mjomba???....jibu swali afu ndo njoo na hoja zako Mzee jibu swali Mzee jibu maswali kisha njoo na hoja yako maana huyo mnayemuona wa kimataifa kabla hajapata hata show moja tandale mwenzake alishaanza kupasua anga then no kelele... Ama kweli masikini akipata matako huliaaaaa..........
 
kidume....
 
Attachments

  • 1458906500642.jpg
    1458906500642.jpg
    30.8 KB · Views: 24
I used to like I mean His fun..but as days goes on..mmmh...Kiba where is Jojo..why can't you settle down and buildup your family.. Many kids with separate mums is it OK with you as Our Star? Come on Kiba before is too late..cant you take an example from your Friend Chibu???OK..but keep on rolling!!
Hahahaaaaa mbna jamaa kazaa na mama ambaye kila mtoto ana baba yake sijui hahahahaaaa....mengine mnachunaa basiii
 
Tatizo nyota....yeye na kishkwambi chake nacho hakina nyota baasi tabu tupu..mondi yuleee
 
This guy knows how to sing, Lakin apunguze mashindano.. Yeye ni mkubwa kimziki.. Anapaswa kupiga hits... Nimesikiliza interview yake moja kaweka na stick mdomoni yani ni hilarious kabisa.. Anaongea kwa pozi za kitoto ubabylon wa kizamani. He needs to settle and focus.. Nyimbo zake pia ni nzuri Sana. This guy ana vocal sana.. Apunguze vinanda kwenye bits zake... A grow up na kupiga collabo kibao na musicians wa nje , hata diamond apige nae nyimbo tu.. Beefs za kijinga hazitufikish mbali angalia Nigeria wanavyopiga collabo utapenda...
 
mashabiki wa kiba mnapenda kuongea vitu msivyovijua nani kwakwambia watoto wa zari kila mmoja ana baba yake? watoto watatu wa Ivan wote mmoja wa chibu Jumla 4 ok acheni upotoshaji
 
Hujajibu swali unakimbilia kunya sijui nn vp mjomba???....jibu swali afu ndo njoo na hoja zako Mzee jibu swali Mzee jibu maswali kisha njoo na hoja yako maana huyo mnayemuona wa kimataifa kabla hajapata hata show moja tandale mwenzake alishaanza kupasua anga then no kelele... Ama kweli masikini akipata matako huliaaaaa..........
Anga lipi unazungumzia??La kariakoo? mbona hatumuoni uku juu? Acha neno nyingi Nmekutajia anga tatu hizihapa #worldwideact #africanact #eastafricanact nitajie anga yyte kati ya hizo aliyopasua
 
la kariakoo 😀😀😀😀
 
Hujajibu swali unakimbilia kunya sijui nn vp mjomba???....jibu swali afu ndo njoo na hoja zako Mzee jibu swali Mzee jibu maswali kisha njoo na hoja yako maana huyo mnayemuona wa kimataifa kabla hajapata hata show moja tandale mwenzake alishaanza kupasua anga then no kelele... Ama kweli masikini akipata matako huliaaaaa..........
Kama umeshindwa kutaja ata anga moja uliyosema kapasua kabla ya chibu, then kuanzia leo ujue jogoo anawai kuamka asubui ila hawezi kufungua mlango anasubiria kufunguliwa na binadam
 
mashabiki wa kiba mnapenda kuongea vitu msivyovijua nani kwakwambia watoto wa zari kila mmoja ana baba yake? watoto watatu wa Ivan wote mmoja wa chibu Jumla 4 ok acheni upotoshaji
Mashabiki wa dimond kwa kukurupuka nmeandika "kila mmoja na baba Yale sijui"...naona hiyo sijui hukuitilia maanani me naanzaje kutafuta habari za mwanamke mwenye watoto wanne kwa mfano ?...hahahahahaaaaa 4 totoz duuuh
 
Kama umeshindwa kutaja ata anga moja uliyosema kapasua kabla ya chibu, then kuanzia leo ujue jogoo anawai kuamka asubui ila hawezi kufungua mlango anasubiria kufunguliwa na binadam
Mashabiki wa mond kwa kujifanya wehu mnaongoza mbna... Sina muda huo coz vitu vipo waz ukishindwa kagoogle.
 
Kama umeshindwa kutaja ata anga moja uliyosema kapasua kabla ya chibu, then kuanzia leo ujue jogoo anawai kuamka asubui ila hawezi kufungua mlango anasubiria kufunguliwa na binadam
Nkikuuliza kiba kwanini wakati anachukua tuzo tano hakuwepo ukumbini utanjibu alikuwa wapi ?..jichetue kwa kias Mzee siyo hadi unatia kinyaa... Pambav
 
Kamuulize bob junior kwamba wakati diamond kaenda kuomba kuimba pale sharobaro records.. Alimshirikisha nani kujadili kama diamond arekod au asirekod ?...jibu alimpigia simu kiba kumwambia kuna Dogo hapa vp tumrekodie?..kiba akamwambia kama yuko fresh arekod ila zoez nnalokupa ww uliyepost ni kutafuta ujue wakati kiba anapigiwa simu alikuwa wapi na anafanya nn ?..ndo utajua sasa kwamba kiba ni nani.
Jaribu kuwa unaelewa kwanza ndo una reply yaani ulivojibu na yy alivyoandika ni vitu viwili tofaut.....nahisi ulikimbiaga shule ww kaka maana duuh niishie apo...!!
 
Nkikuuliza kiba kwanini wakati anachukua tuzo tano hakuwepo ukumbini utanjibu alikuwa wapi ?..jichetue kwa kias Mzee siyo hadi unatia kinyaa... Pambav
Asa tuzo za women empowerment nazo unazungumzia
 
Kila kitu cha kiba mnabeza... Ishara za kuishiwa hoja na uwoga msanii gani mkubwa bongo hii hakuwahi kuchukua KTMA ?..afu usintoe nje ya mada nijibu kiba wakati zile tuzo zinatolewa alikuwa wapi?
 
Jaribu kuwa unaelewa kwanza ndo una reply yaani ulivojibu na yy alivyoandika ni vitu viwili tofaut.....nahisi ulikimbiaga shule ww kaka maana duuh niishie apo...!!
Kunduuuuuu usiongee na mm kuhusu shule kiaz ww weka hoja twende mguu kwa mguu
 
Jaribu kuwa unaelewa kwanza ndo una reply yaani ulivojibu na yy alivyoandika ni vitu viwili tofaut.....nahisi ulikimbiaga shule ww kaka maana duuh niishie apo...!!
Kifupi tu bas nkwambie darasa ambalo sikusoma ni Chekechea tu nyau we na nipo mkwawa mwaka wa pili maandazi mabichi we.
 
Back
Top Bottom